#COVID19 Usiwe sehemu ya upotoshaji kuhusu COVID-19 na Chanjo

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
Upotoshaji.png


Cha kusikitisha ni kwamba, kuna habari nyingi zisizo sahihi mtandaoni kuhusu virusi vya COVID-19 na chanjo. Habari potofu wakati wa janga la kiafya zinaweza kueneza hali ya wasiwasi, hofu na unyanyapaa. Inaweza pia kusababisha watu kuachwa bila ulinzi (kinga) hivyo kuwa kusababisha dhaifu dhidi ya virusi.

Pata ukweli na ushauri uliothibitishwa kutoka kwa vyanzo vinavyoaminika kama vile mamlaka ya afya ya eneo lako, UN, UNICEF na WHO.

Ukiona maudhui mtandaoni ambayo unaamini kuwa ya uwongo au ya kupotosha, unaweza kusaidia kukomesha kuenea kwa kuyaripoti.

====

Sadly, there is a lot of inaccurate information online about the COVID-19 virus and vaccines.

Misinformation in a health crisis can spread paranoia, fear and stigmatization. It can also result in people being left unprotected or more vulnerable to the virus. Get verified facts and advice from trusted sources like your local health authority, the UN, UNICEF, WHO.

If you see content online that you believe to be false or misleading, you can help stop it spreading by reporting it to the social media platform.

Source: WHO
 
Back
Top Bottom