Usiutupe mwanzo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usiutupe mwanzo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NewDawnTz, Jan 3, 2011.

 1. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Jamani mnaukumbuka mwanzo!! This is a beautiful point of reference.

  Unakumbuka ulipokutana na mwenzako mara ya kwanza?

  Unakumbuka ilikuwa ni maeneo gani?

  Unakumbuka ni nini ulimwambia? Zile ahadi zote unazikumbuka (au unakuwa kama mwanasiasa kutoa ahadi kutafuta kura then byebye)?

  Unakumbuka ni kitu gani cha kwanza ulimfanyia au ulimnunulia?

  Ni nini cha pekee unakumbuka?

  Unajua umuhimu wake katika kulipa uhai penzi lako leo?

  Uko umuhimu wa kukumbuka ulipoanza katika kudumisha mahusiano yenu. Kumbuka leo, mkumbushe mpenzi wako
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naomba niwape uzoefu wangu kidogo.

  Nakumbuka nilikutana na Mpenzi wangu maeneo ya bustani ya Nyerere (Nyerere Square) nikiwa kwenye mapumziko yangu ya jioni. Hapa ndipo nilipotoboa "Ozone Layer" na kumwambia yaliyojaa moyoni mwangu

  Nakumbuka nilimwambia nampenda sana na hakuna mwanamke alieuvutia moyo wangu kama yeye na kama akikubali ombi langu sitavutika na mwanamke mwingine zaidi yake.

  Nilimwambia nitamfanya kuwa mwenye furaha kila siku na sitakoma kumpenda. Nilimwambia nitampa nafasi ya kumsikiliza katika tofauti zetu

  Tulipanga mipango yetu ya maisha.

  Tunavyotumia mwanzo wetu: Kila siku lazima anikumbushe tuliyoongea mwanzo. Nami namkumbusha tuliyoongea mwanzo.

  Kama ikitokea kuna jambo seroius na halifai kuzungumza home, huwa namchukua tunakaa kwenye kiti kile kile ambacho tulikutana siku hiyo (wakazi wa Dom ni kiti karibu na mtende unaotazamana na CRDB Bank) kisha tunaongea na kukumbushana ahadi zetu na umuhimu wake.

  Ni mahali pa muhimu kwetu na hata yeye mwenyewe amekuwa akijua umuhimu wake.

  Kila tukikutana hapa huwa kama vile ndio tunaanza moja!! Pana historia ya muhimu sana kwenye penzi letu kuliko maeneo ya historia ya Tanzania wala maeneo mengine makubwa na maarufu. Kila mara tunapatamani hapa kuliko hata mbuga za serengeti wala kubembea Jamaika
   
 3. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaha!thread yako imenikumbusha mbali,,,ukweli mambo ya mwanzo esp maneno ni muhimu ktk kuleta uhai mpya kny mapenzi ingawa,,,,,mh!
   
 4. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mh..nini tena WL jamani, tuwekee hapa tujue na upande wa ...mmh!
   
 5. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mwanzo ahadi huwa nyingi smtyms huambatana na machozi,,,,baadae ukikumbushia inasaidia kwa wiki 1 then mambo yanakuwa yaleyale,,naona iko very seasonal though it can work out,,thx
   
 6. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni kweli, lakini ni muhimu watu wakaanza kuitilia manani. Ina umuhimu wake ati. Wengine wanapigia kelele wanasiasa wakumbuke ahadi zao wakati wao wanazo chungu nzima hawajatimiza

  Kumbe siasa na mapenzi vinaendana sana. Unaahidi, ukishapata unatimka zako.

  Mhamasiho ni kutimiza ahadi zetu na namna pekee ni kurejea kwenye manifesto zetu tulizozitema jukwaani. Siku nikirudi maeneo haya huwa kumbukumbu zangu zinanikumbusha wakati namtongoza sweetheart na huwa naanza moja ili ahadi zisinitoke.....
   
 7. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ofcz hata mimi umenikumbusha mbali..lakini kwangu mimi nahisi kama ilikua sinema vile..
  Nakumbuka nyumbani tulikua na dada mmoja (binamu) alikua mkubwa kwangu and nilikua kama darasa la tatu hivi..alianza kunichezea nyeti mzee nikaanza kula mzigo japo yeye ndie alikua controler!
  mpaka nafika form 1 nikawa napiga mzigo na alikua ameshaniathiri kisaikolojia bcoz alinitaka atakavyo,sikumbuki kama nilikua nampenda but ilifikia kipindi hata mi nikijiskia hamu ni kula mzigo tu!
  Nilijitambua nikiwa form 3 coz alikua hataki niwe na mahusiano na msichana yoyote.
  mwisho wa siku 2lichukizana sana,nikamkimbia kwa kuhama mji na kukaa kama mwaka hv then nikampata wa kumpenda japo alikua wa kuzuga tu anyway
  Naomba niishie hapo jamani mapenzi haya tumejifunza mengi..
   
 8. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  dah mi nilikutana na wangu kwnye daladala mwenge/mbagala (nilikua nashuka ilala) hlf daladala ilikua shazi km kawaida y dcm za huko.wote 2likua 2mecmama mzee mzima nikatema sumu palepale.na mimi cku nikimpeleka 2lipokutana c itakua balaa
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmhhhhh
   
 10. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Wewe ChweChwe wewe, mbona hii ya kwako balaa?

  Ila pamoja na kukutana kwenye daladala nauhakika kuna mahali baada ya hapo mlikutana as your first meeting point na kujadiliana juu ya mahusiano yenu kwa undani zaidi. That is the place...hii ya kwenye daladala hii mmhmhhhh!!
   
 11. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa.first meeting ikawa geto 2nd nikampeleka zile nyumba huwa wa2 huingia wakijifichaficha na kutoka km hamjuani wakat ndani mlikua wote.je niwe nampeleka huko.
   
 12. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,228
  Trophy Points: 280
  Mkuu huo mtende naufahamu. Nilishakaa pale kusubiri foleni ya ATM
   
 13. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Huwa sipendi kukumbuka "myanzo"!
   
 14. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pale mwenzako nilijipatia wangu. Alafu the same story, Kwa sababu nilianza kukaa hapo kusubiri foleni wakati huo huo napunga upepo wa jioni, akajitokeza mdadae na hapo ndo nikatema cheche...tehehtetehe...huu mtende bwana, kama wa Jangwani...
   
 15. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Baba Enock vipi tena....do you mean you had a bad beginning?? OOhhh! no...this is another case
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mwanzo ungeendelea kuwa mwanzo mbona ingekuwa raha sana
   
Loading...