Usitongoze mke wa mtu serious mtongoze kiutani

Na ukimkamata mle kweli kweli,kuna mmoja huyo nilimtafuna haswa mpka mumewe anamuita "jamaa bado yupo usitume sms"hahaa hatari sometime akiona kanimis sana na mumewe yupo ataniita kama fundi either wa chochote ilimradi hata nimle mate ila hii nshamuambia ni hatari sana ,
 
Weka picha
Iyo hapo mkuu! ..
FB_IMG_16101696285675535.jpg
 
Huwezi kujua kama na yeye anakuwinda au anakupenda mwisho wa siku mume wake anamshika mshika Na mautamu yanazidi mpaka mwanamke anamuuliza mume wake Kama alimtuma umtongoze akujaribu nakwambia utajuta.unapomtongoza mfanyie kimasihara kiasi kwamba hata akikuchomolea ajue ulikuwa Unamtania.

Mke wa mtu sumu Na hasa mke watajiri

Utaja liwa Halichachi kijana shaur lako.
 
Na ukimkamata mle kweli kweli,kuna mmoja huyo nilimtafuna haswa mpka mumewe anamuita "jamaa bado yupo usitume sms"hahaa hatari sometime akiona kanimis sana na mumewe yupo ataniita kama fundi either wa chochote ilimradi hata nimle mate ila hii nshamuambia ni hatari sana ,
Unaona hiyo picha uliyoweka kama profile? Usipokuwa makini Kuna siku mwenye mke atakuwa anakuangalia hivyo.
 
kuna mmoja hapa ameniambia mume wake hayupo anaogopa kulala peke yake so anakuja ghetto baada ya dakika 20
 
kuna mmoja hapa ameniambia mume wake hayupo anaogopa kulala peke yake so anakuja ghetto baada ya dakika 20
Kumbe ni wewe ndo unakulaga mke wangu nikiwa nimesafiri?,Leo nimekukamata sijasafiri ntakufumua hayo marinda.
 
Wanaume tuna Hatia kubwa Sana. Kuzini na Mke wa mtu Ni Jambo baya Sana kwa Mazingira yoyote... Hata Kama Mwanamke amejilengesha. Tukumbuke Mwanamke Ni kiumbe Dhaifu Sana ndo maana anaweza kufanya lolote mahali Popote Tusichukulie Kama Ushujaa hata kidogo Bali Ni Upumbavu mkubwa Sana.. Kuna mchangiaji hapo Juu anajisifu Nampa pole. Madhara ya Haya mambo yanakuja baadae Sana. Tuwe makini na Mungu pia atusaidie Sana.
 
Back
Top Bottom