Wakuu yaliyo nikuta leo ni majanga kweli nimerudi home LUKU imekata nikshauriwa ninunue kwa tiGo pesa nikawapuuza wadau nikaamua kununua m- pesa mpaka sasa ni saa zima linakatika sijapata umeme. Nasikilizia tu giza totoro.

Sijajua uko wapi lakini kama ni Kinondoni cheki na namba hii ya Tanesco kama zishafika huko 0768 985 100. Niliwahi kupata tatizo kama lako wakanisaidia.