Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Kwa wnawake wanao jishuhulisha kwa tanzania sijaona zaidi ya wanawake wa kikinga na wachaga igawa kwa wachaga sio wa maeneo yote

Wanachaga wa maeneo gani ndio wanajishughulisha zaidi
 
Kama una shamba la kulima ukipata mnyakyusa utakuwa umewin, ila kimjn mjn hv kila kisherehe utakuwa unahudhuria mwenyew, maana sura zao mvuto hazina.. hawanogi kwa poda wala make up.
 
Mwanamke wa kinyakyusa huridhka upesi na kuwa na limwili la pipa! Kwa wale ambao hawajaoa nawashauri wawatafute mabinti wa KISAFWA kwani ni mawife material sijapata ona! Japo utandawazi mtafundishana.
 
kama una shamba la kulima ukipata mnyakyusa utakuwa umewin, ila kimjn mjn hv kila kisherehe utakuwa unahudhuria mwenyew, maana sura zao mvuto hazina.. Hawanogi kwa poda wala make up.

wewe sidhani kama hata unawaelewa wanawake wa wanyakyusa
 
Back
Top Bottom