Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Teh yani sijui nani atakubali tumuharibie watoto wake na hizi sura zetu za kina baba mdogo + miili yetu kama kina John Cena, ndo maana wababe sisi.
#teamnyakyusa#
Hahaha hio part ya kufanana na baba mdogo, nikikumbuka sura zetu za kule naguswa sana,kama kweli nimefanana nao imbombo ngafu...
 
Hahahaha huuu ushauri naukubali kabla hata hujanishauri....
Nikishajua we ni mnyakyusa nakimbia fasta...
Mimi ni mnyaki lakini sitopenda niolewe na mnyaki...hayo mambo yalikua zamani kaka angu..
Kumbe umejipanga mule mule, safi sana sista!! kila la kheri

Heaven Sent umemsoma dadaako?! na wewe jipange kutafutia wanao sura za mauzo
 
Kumbe umejipanga mule mule, safi sana sista!! kila la kheri

Heaven Sent umemsoma dadaako?! na wewe jipange kutafutia wanao sura za mauzo
Ila si kwasababu ya sura napenda miili yao,tall and black attractive kwakweli lakini tabia za wanaume wa kinyaki hapana kwakweli....ngoja ninyamaze nisije wakosesha wake humu...
 
Kumbe umejipanga mule mule, safi sana sista!! kila la kheri

Heaven Sent umemsoma dadaako?! na wewe jipange kutafutia wanao sura za mauzo
Hahaha ntawatafutia kwa kweli, tatizo sasa vitu outstanding vinataka vitu outstanding vyenzao. Basi ngoja nipalilie maeneo ma engine ili wapoteze concentration na gusura gwangu
 
Hahaha atoto unakumbuka nilikwambia nini kuhusu wazungu? Endelea kung'aa sharubu uje kuanza kutamania Vitoto vyangu point 5
Vitu
C.c mito
Kweli kabisa bana, mwambie ajue kabisa, asije kusema hatukumshauri

BTW huwa nashangaa sana, unakuta mdada single mum anajiweza kiuchumi hatari, halafu anaishia kuzaa na mwanaume sura nzito remi (RIP) kasingiziwa, duuh!! nachokaga kabisa yaani
 
Ila si kwasababu ya sura napenda miili yao,tall and black attractive kwakweli lakini tabia za wanaume wa kinyaki hapana kwakweli....ngoja ninyamaze nisije wakosesha wake humu...

Niliwahi sikia kitu kama hicho kwa sana tu, so I can imagine......na wengine ni marafiki zetu so tunajuana vizuri
 
Hahaha ntawatafutia kwa kweli, tatizo sasa vitu outstanding vinataka vitu outstanding vyenzao. Basi ngoja nipalilie maeneo ma engine ili wapoteze concentration na gusura gwangu
We bana sista unapendaga kunichekesha sana loh, sasa ntakuwa sikukwoti bana!! eti wapoteze concentration na gusura gwako, daaah!!!

Ila tafuta hela, siku hizi hela ina matter both sex, hope unakumbuka ule uzi wa lara 1
 
Wewe unajua vizuri msimamo wangu kuhusu suala la ndoa. So jibu unalo tayari lol

Teh uwe unaniquote tu bana, uongeze siku za kuishi duniani
 
Niliwahi sikia kitu kama hicho kwa sana tu, so I can imagine......na wengine ni marafiki zetu so tunajuana vizuri
Me ukiacha tabia zao zote, naogopa sana misimamo ya wanaume wa kinyaki. Wale watu wakisema NO ni NO amemaliza. Na wana pride, hawayumbishwi kamwe.
 
Me ukiacha tabia zao zote, naogopa sana misimamo ya wanaume wa kinyaki. Wale watu wakisema NO ni NO amemaliza. Na wana pride, hawayumbishwi kamwe.
Hapo sasa, make mwanamke wa kinyaki naye misimamo kama kawa, mume ndo kabisaa hataki kuyumbishwa, so I can imagine moto wake kwa kweli
 
b38f6a5c95e71d07767feaa08cf8ee22.jpg
 
Mmh haya bana!! ila hapo kwenye akili umenena point, kuna wanaume kichwani ni hewa kabisaaa
Tena hewa haswaaaa....inakera unakaa na wanaume mahali mna discuss issues then unagundua kuna bichwa tupu.Na uzuri woteeee unamuona kama kituko gani.
 
Duh aiseeee, we noma!! mkuu imekuwaje ukaja na conclusion hii?
Mi navojua wanyaki ni mojawapo ya makabila yanayojua ukabila kweli kweli, I mean hata kwenye mambo ya relationships wanapenda waoane wao kwa wao. Hii inapelekea mzunguko wa genes kubaki zile zile kizazi hadi kizazi, na kufanya community yao kufanana kwa kiwango kikubwa.

Kama lisemwalo ni kweli, basi kuna haja ya kuwashauri wapunguze kuzaliana wao kwa wao, changanyeni damu msiwe homogenous community kama wahutu au watusi. So wadau Heaven Sent, brenda18, miss strong na wengine ichukulieni hii positively mhifanyie kazi kama ina mashiko anyway, kamateni wachumba makabila mengine kujenga sura za wanenu. Mi ningekuwa Ke akyanani pamoja na kuangalia me kwenye promising future ningeangalia pia sura bana, for the betterment of my kids. Kusema hakuna me mbaya ni kuidanganya nafsi ilihali macho yanaona tofauti ipo, tena kubwa tu.

Sista atoto vipi Kaboom wako ana uhendisamu japo kidogo? au umefuata hela tu hamna kitu....teh teh!!

Kaka mito shemeji yako Kaboom ni chotara hiyo ikamsaidia kidogo angalau hata akanivutia, unadhani hata pesa anazo baasiiiii, mie hata sijui kipi kimeninasa kwake.
 
Sasa
Mnyakyusa hata unipe bure na milioni moja juu sichukui ni malaya wa kupindukia,alafu wanatoroka na watoto hasa ukiwa sio kabila lake,alafu watoto wanapachikwa majina ya kinyakyusa na kuongea lugha ya kinyakyusa badala ya lugha ya baba.yaani hovyooooo! Mabasha zake watakuja hadi kwako unadangwa kaka zangu.nimewala sana wanyakyusa kama 21 nawajua sanaa! Alafu ni wanafiki.
wewe umewala 21 alafu unasema wao mal...aya? Embu jitafakari wewe pia, unatoa kibanzi kwnye jcho la mwenzio, huoni Hilo boriti kwako eeh??
 
Kaka mito shemeji yako Kaboom ni chotara hiyo ikamsaidia kidogo angalau hata akanivutia, unadhani hata pesa anazo baasiiiii, mie hata sijui kipi kimeninasa kwake.
Hahaaa so anakuchafua bure bure tu my sista, ahaaaa hapa aisee, nahisi nimebadilishiwa sista

Kaboom dadaangu umemwendea kwa kalumanzila nini bana??
 
Ila si kwasababu ya sura napenda miili yao,tall and black attractive kwakweli lakini tabia za wanaume wa kinyaki hapana kwakweli....ngoja ninyamaze nisije wakosesha wake humu...

Weeee hebu tulia haraka!!
 
Back
Top Bottom