Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Naona sasa watu wameshawashtukia sasa unafiki wao na uuaji wao ukiasisiwa na ukahaba an uzinzi wao umejulikana sasa hawana soko. Na hii ndiyo sababu unaanza kuwapigia kampeni. Kuwatembeza hapa mtandaoni ni kuwadhaliisha. Na vile wana sura na matumbo kama usiku!, afadhali usirudie tena kuwawka hapa maana unazidi kuwaharibia.

Kibaya chajitembeza kama wanyakyusa mitandaoni na kizuri cha jiuza kama wanawake wa kifipa na kisukuma kwa mfano.
Unaonekana umepandwa na jazba mkuu, umechukuliwa bwana au bwana wa kinyakyusa kakutendea vibaya?
Mtoa mada ameongelea utafutaji hapo ulipomquote.
By the way life goes on, wapo na wanaendelea kuoa na kuolewa.
Achilia tu moyoni mwako, wasamehe kushikilia chuki kunakutafuna ndani wewe mwenyewe.
 
Daah kuna watu wanapataga wanaume lakini. Huyo mume ndo tuseme ni mpole sana au kaamua tu kukaa kimya? Pole yake huyo mume
Ni mpole ila ni zoba pia mke anarudi alfajiri upole gani huo, akianza kumwaga matusi sasa ha ha ha ha ha mme kampata kwakweli
 
Mie nimeshawamwaga kama wanne hiv kipindi nipo mby city...they knw how to love,they are hardworkers tatizo ni wabishi sanaaaaa.Pia wanapenda kutawala vibaya mno
wadada wakinyaki wanapenda kumtawala mwanaume yan wao ndo kichwa cha familia ata kama haingizi kipato.
 
Acha tu, kuna shoga angu ni mixer ya mnyakyusa na mkurya acha kabisa mme wake kazi anayo kazi si ya kitoto
Hahaha huyu uchotara wake mbaya sana maskini..mimi nna rafiki angu mixture ya mnyaki na mmasai duh ukizingua ana kudunda ye haongei teh.. Yeye relationship zake lazima wanavyoachana zichapwe kdg,hatari sana
 
Niliwahi kuonja mmoja aisee! Nilikuwa na mafua kidogo so nilishindwa ku determini ladha yake kama ni mtamu ama laa jamaa yangu!
 
Hahaha huyu uchotara wake mbaya sana maskini..mimi nna rafiki angu mixture ya mnyaki na mmasai duh ukizingua ana kudunda ye haongei teh.. Yeye relationship zake lazima wanavyoachana zichapwe kdg,hatari sana
Ha ha ha dah huyu shost angu naona ni nguvu tu ndo hana ila mmmh hapana asee
 
Mi Nnawakubali sana wanyakyusa kwa hayo yote lakini ni kweli wanapenda sana kutawala mwanaume hasa ukiwa sio mnyakysa mwenzake ndio balaa
 
Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.
Wanapandishaga mashetani haoooooi
 
Wanyakyusa ni wababe bana 😀

Nishawahi kuwa na demu wa kinyakyusa nilimpendea ile injini ya pale nyuma ilivyokuwa kubwa sasa kunasiku akanikuta na kamchepuko kangu ka kipare hapo gheto duh yule demu alikuwa mbabe aisee sio kwa yale mabanzi mpare wa watu aliyachezea mpaka nawaachanisha alikuwa kalowa kwa nakozi na mimi full kutishiwa na kimwili changu nikapoa demu mbabe kama Van dame ila likuwa mtaaamu sana kwenye maswala ya mgegedano.
 
Hahaha pole yake huyo mpare, yani kama naona hiyo mijikonde ya mnyaki
 
Hawa hawa ambao kila mwanamme wanampachika undugu ili aje home, ukienda job wanafanya yao ukirudi wao ni kaka na dada?
 
Back
Top Bottom