Usitarajie kuwa na ndoa imara kwa uzembe wako wa kwenda kuoa familia ya kiswahili swahili

Aangekuwa na akili bi maza angejua hiyo ni strategy ya kupaisha mziki tu there's nothing going on. Muziki wa bongo bila skendo hautembei
 
Na wakamsilimisha juu, hapa ndio pa kujifunza wanaume.

Ukishakubali kusilimishwa na mwanamke umekwisha, mwanamke atakuchezea anavyotaka.
 
Aangekuwa na akili bi maza angejua hiyo ni strategy ya kupaisha mziki tu there's nothing going on. Muziki wa bongo bila skendo hautembei
Sasa wewe unajuwaje kama mama na mtoto wameshapanga deal la kumchomowa pesa kama kuangukia mke arudi nyumbani?

Hawa waswahili muwaogope kama ukoma, hapo analiwa mtu timing ya kupigwa pesa nyingi ili mke arudi nyumbani.
 
Barnaba pale ameyatimba. Mpaka na dini wakambadilisha. Hana akili. Watamuendesha mpaka achanganyikiwe.
 
Ogopa Sana Familia Za Kiswahili
Utaratibu wa ndoa mwanaume akikosea unapeleka malalamiko kwa mshenga, kwa wazazi wa mwanaume au kwa kiongozi wa kiroho wa ukweli, lakini kwanza lazima mzungumze wenyewe wawili mkiweza kulimaliza malizeni wenyewe, sasa mama anaingiaje hapo?
 
Sasa wewe unajuwaje kama mama na mtoto wameshapanga deal la kumchomowa pesa kama kuangukia mke arudi nyumbani?

Hawa waswahili muwaogope kama ukoma, hapo analiwa mtu timing ya kupigwa pesa nyingi ili mke arudi nyumbani.
Waswahilina utawaweza? Mama mtu anaonesha mipasho kama ndo kaolewa yeye
 
Barnaba pale ameyatimba. Mpaka na dini wakambadilisha. Hana akili. Watamuendesha mpaka achanganyikiwe.
Mimi naamini uchawi upo, hivi mtu Staa na ana pesa, anapata wapi uhaba wa mke wa kuowa mpaka unasilimishwa dini?

Sina tatizo na mtu anayesilimu kwa imani ya kuvutiwa na mafundisho ya dini, lakini kusilimishwa kwa ajili mwanamke huu ni uzembe mkubwa ndio maana mama na binti yake wameungana kulitikisa buzi, na hii mishangingi ya mjini kama hilo mama Kimbo lazima wampige pesa Barnaba, hii ni planned strategy ya mashangingi ya mjini kama huyo mama mkwe wa Barnaba.

Barnaba akitaka kuamini ninachoandika amualike mama mkwe wake sehemu private halafu ampandie dau aone kama hatomvulia chupi.
 
Utaratibu wa ndoa mwanaume akikosea unapeleka malalamiko kwa mshenga, kwa wazazi wa mwanaume au kwa kiongozi wa kiroho wa ukweli, lakini kwanza lazima mzungumze wenyewe wawili mkiweza kulimaliza malizeni wenyewe, sasa mama anaingiaje hapo?
Anatafuta Umaarufu Na Kuitwa Kupitia Vipindi Vya Mchana Vya Media Za Radio FM.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Dokta unashindwa kuandika vizuri usitalajie ndio nn
 
Kiki hizo.Na wewe umeingia mkenge?Barnaba katoa nyimbo mpya .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…