Usitafute kampuni nzuri tafuta boss mzuri

Usitafute kampuni nzuri tafuta boss mzuri

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
750
Reaction score
367
Mkitafuta kazi zingatieni ushaur huu msipambane kupata kampuni kubwa au nzuri

Pambania kupata boss mzuri kampuni kubwa itaenda kukutumia kama kitendea kazi lakin boss mzuri atakusaidia ku stemlate kipaji au ndoto yako
 
Boss mzuri atakuchelewesha kufikia malengo, yaani utaona hapo ndio umefika utabweteka ukija kushtuka umri wakustaafu tayari na hakuna ulichofanya. Boss rough, makelele meengii, makalipio sanaa, kiasi unajiona hapa muda wowote kinaota nyasi. Kichwa yako itapata moto na kila muda utafikiria nje ya boxi.
Na hutochukua muda utatoboa tu either kufanya biashara zako ama kua sehemu nzuri zaidi ya hiyo.
 
Mkitafuta kazi zingatieni ushaur huu msipambane kupata kampuni kubwa au nzuri

Pambania kupata boss mzuri kampuni kubwa itaenda kukutumia kama kitendea kazi lakin boss mzuri atakusaidia ku stemlate kipaji au ndoto yako

Umenipoteza kwenye bold mkurugenzi.

BTW, Boss yuko pale kwa maslahi ya kampuni. Ni ngumu kupata idea ya nature ya boss kabla hujaingia. Ushauri wako ni mzuri ila hauna uhalisia.
 
Back
Top Bottom