Usisome hii kama wewe sio msichana

Usisome hii kama wewe sio msichana

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,099
Mimi Ni Mtumishi Wa Mungu Na Ni Mchungaji Mtarajiwa, Ninatafuta Mke Mwema Wa Kuoa. Vigezo Awe Ameokoka Kwa Muda Usiopungua Mwaka Mmoja, Awe Anaabudu Makanisa Ya Kirohn, Awe Tayari Kuwa Mama Mchungaji. Mimi Naitwa Emmanuel, Taja Na Jina Lako Na Mahali Unapoabudu, Weka Na Namba Ya Cm Ili Iwe Rahisi Kuwasiliana. Unaweza Ku2ma Kwny Pm. MITHALI 30:31, "Uzuri Wa Mwanamke Sio Sura,bali Yeye Amchae Bwana Ndiye Atakayesifiwa"
 
Una shilingi ngap kwenye akaunt yako? Una nyumba? Una kaz nzur na vitega uchumi vya kutosha? Shida stak, nataka nije nipumzike Tu huko bas
 
Mmh! Kama kweli wewe ni mchungaji mtarajiwa ungekuwa unajua mke/mume mwema hutoka kwa Bwana na siyo JF. Acha uongo. Waongo wote sehemu yao ni lile ziwa la moto.
 
Wewe kama una akili haunge tafuta mchumba.mwanamke yeyote anatoka kwa bwana wala sio JF.
 
hakuna msatari unaosema hvo kwenye bible!! unapotosha umma!!!

hatvapatana humu kwenye jf, bali 2tatafutana nikikuona tu ninauwezo kujua, hiko kipawa nimepewa. na kama anatoa bwana, yaani anashuka kutka mbinguni?
 
Una shilingi ngap kwenye akaunt yako? Una nyumba? Una kaz nzur na vitega uchumi vya kutosha? Shida stak, nataka nije nipumzike Tu huko bas

Ndio Nipo Kampuni Kubwa Ya Sukari Nchini, Je,upo Tayari. Tuma Msg Kwny 0687241120
 
Mlaji anatafuta kondoo wa bwana .Wewe sio wale wasiooa?
 
Ushauri wa bure tafuta wazee eleza unataka jiko watakutafutia kulingana na tabia yako wa if utawaweza? Wanachat mpaka church
 
Unajua sadaka za makanisa ya kina gwajima wewe? I wish i was single. Dah
Una shilingi ngap kwenye akaunt yako? Una nyumba? Una kaz nzur na vitega uchumi vya kutosha? Shida stak, nataka nije nipumzike Tu huko bas
 
Samahani Mch, huo mstari wa Mithali 30:31 umeutoa Biblia ipi?
 
Kweli Mungu hana formula ktk mambo yake:
Huyu anaamini anaweza kupata mke mwema JF, tusimkejel jamani uenda ndo kapatamaono ya ivo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom