Usisome hii kama wewe sio msichana

Usisome hii kama wewe sio msichana

Mithali 30:31 Jimbi aendaye tambo; na beberu; Na mfalme ambaye haasiki.
 
Mbona ww hujaweka no ya cm????? Ila unataka ya mwenzako
 
Kama umekosea msitari wa bible nahisi hauki serious kwenye mambo yako!!
 
Mimi Ni Mtumishi Wa Mungu Na Ni Mchungaji Mtarajiwa, Ninatafuta Mke Mwema Wa Kuoa. Vigezo Awe Ameokoka Kwa Muda Usiopungua Mwaka Mmoja, Awe Anaabudu Makanisa Ya Kirohn, Awe Tayari Kuwa Mama Mchungaji. Mimi Naitwa Emmanuel, Taja Na Jina Lako Na Mahali Unapoabudu, Weka Na Namba Ya Cm Ili Iwe Rahisi Kuwasiliana. Unaweza Ku2ma Kwny Pm.

Aisee
MITHALI 30:31, "Uzuri Wa Mwanamke Sio Sura,bali Yeye Amchae Bwana Ndiye Atakayesifiwa"

MITHALI 30:31 "Jimbi aendaye tambo; na beberu; Na mfalme ambaye haasiki."
 
ok,nilikosea ahsante
ni mithali 31:30

MITHALI 31:30"Uzuri Wa Mwanamke Sio Sura,bali Yeye Amchae Bwana Ndiye Atakayesifiwa"

MITHALI:31:30 "Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa"
 
Mimi Ni Mtumishi Wa Mungu Na Ni Mchungaji Mtarajiwa, Ninatafuta Mke Mwema Wa Kuoa. Vigezo Awe Ameokoka Kwa Muda Usiopungua Mwaka Mmoja, Awe Anaabudu Makanisa Ya Kirohn, Awe Tayari Kuwa Mama Mchungaji. Mimi Naitwa Emmanuel, Taja Na Jina Lako Na Mahali Unapoabudu, Weka Na Namba Ya Cm Ili Iwe Rahisi Kuwasiliana. Unaweza Ku2ma Kwny Pm. MITHALI 30:31, "Uzuri Wa Mwanamke Sio Sura,bali Yeye Amchae Bwana Ndiye Atakayesifiwa"

Unasali kanisa gani? Nipo hapa ruaha jirani na mini supermarket ya Asenga. Nahitaji mume mwema na nahisi tutaendana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom