Usiseme nitampenda Kesho

bora umekuja leo naona chenga chenga zaid ya kitenesi mke wa ndoa Ladyfuraha...shostisto kantwe kawekwa reserve
bado naambiwa mm na wewe wahezaji wa kukodiwa cos tuna timu iliyo tusajiliwa

Ukiskia mtu anatafuta mke nistue.....am singo from today
 
Last edited by a moderator:
Nitafunga na kuomba mamy,yaani kwangu kitu kinaweza maliza miaka na kikasahauliwa ila mie ninacho moyoni tu!!
Ahsante.

Usinikumbushe dada yangu....anaweza kukukumbusha neno uliloongea mwaka 2006 ukabaki unashangaa
 
Usinikumbushe dada yangu....anaweza kukukumbusha neno uliloongea mwaka 2006 ukabaki unashangaa

Huyo ningekaa naye mie tungeelewana hasa!!!
Ndivyo nilivyo nami,siwezi kusamehe na kusahau
 
Maisha ni mafupi sana kupoteza muda kugombana na watu...kuishi na binadamu mwenzio kwa amani haikupunguzii kitu zaidi utapata amani ndani ya moyo wako hata itapotokea mpo mbali.

Upendo ni amri kuu

umenena vema
 
bora umekuja leo naona chenga chenga zaid ya kitenesi mke wa ndoa Ladyfuraha...shostisto kantwe kawekwa reserve
bado naambiwa mm na wewe wahezaji wa kukodiwa cos tuna timu iliyo tusajiliwa

Acha nimalize ela zake kauza ng'ombe
 
Last edited by a moderator:
Hakika umenena mie familia na ndugu tuko poa ila kuna wadada 2 hakika nilivowatenda cjui nitawaombaje msamaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…