Kilimo kinalipa sana ndani ya muda mfupi unakuwa billionerUtaambiwa ukazane kwenye kilimo.
Ila Kuna global warming 😂Kilimo kinalipa sana ndani ya muda mfupi unakuwa billioner
Mihuni hiyo.Mbona wao hawalimi hata bustani viroba?Kilimo kinalipa sana ndani ya muda mfupi unakuwa billioner
Akili kumkichwa 😆Ila Kuna global warming 😂
Zamani tuliimbishwa:Kwa kweli ujenzi unafanyika pamoja na hali kuwa ngumu lakini ukitoka nje ya mji kidogo sites huku materilas yanasambazwa hadi unajiuliza hawa wennye sites zao hela wanapata wapi au wanatengeneza wenyewe yaani kiufupi nchi inapigwa kwa kweli hibi watu wanapata wapi hela!hela inapatikanaje maana najitahifi kuungaunga lakini wapi.hela inapatikanaje?
au utaskia nasafirisha mchicha kwenda Europe napata fedha nyingi sana 😆Mihuni hiyo.Mbona wao hawalimi hata bustani viroba?
Kilimo kinahitaji fedha ili ukimudu.Unalima ili upate fedha.Sasa,uamuzi ni wako;Uanze na kilimo kwa kutumia fedha au utumie fedha ili ufanikishe kilimo.Jiulize,kipi unacho kimtafute mwenzake!Zamani tuliimbishwa:
Karudi baba mmoja,Toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapanja,na kutetemeka mwili!
Watoto wake wakaja,ili kumtaka Hali
Kama mnataka Mali,mtayapata Shambani!
Aah wapi bila Soko la uhakika ni kuchemka tuu na kujilisha upepoo!
Mchicha ni jina la jumla.Hata bangi na mirungi huitwa mchicha.au utaskia nasafirisha mchicha kwenda Europe napata fedha nyingi sana 😆
Aiseeee wewe acha nipo huko kwenye madini kuna jamaa ana prant 30 na makongorosi anazo 30 na nime Kuta sehemu ana Jenga maabara ya kupima kiwango cha madini kwenye madini na miamba nilichoka kabisa kabisa.Kwa kweli ujenzi unafanyika pamoja na hali kuwa ngumu lakini ukitoka nje ya mji kidogo sites huku materilas yanasambazwa hadi unajiuliza hawa wennye sites zao hela wanapata wapi au wanatengeneza wenyewe yaani kiufupi nchi inapigwa kwa kweli hibi watu wanapata wapi hela!hela inapatikanaje maana najitahifi kuungaunga lakini wapi.hela inapatikanaje?
NakaziaKuna kitu kinaitwa Money laundering