USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

*SABABU 10 ZA "PANIC MODE" YA ZITTO KUWA JUU*

1. Alizoea kutisha watawala ananyenyekewe sasa kakutana na Chuma;

2. Anapenda cheo, mamlaka na sasa hana na hateuliwi hata kwenye Tume tu mana hata Umakamu wa Kamati za Bunge kakosa‍♂;

3.Tangu atoke PAC dili zimekata. Alitamani awe Mwenyekiti wa kudumu;

4.Bado anaweweseka hajui Msajili wa Vyama ataamua nini juu ya Chama chake kupiga mamilioni na kushindwa kuwasilisha ripoti kwa CAG‍♂;

5.Alizoea kupiga dili na makampuni makubwa hadi akashawishika kusomea uchumi wa madini ili apige zaidi sasa hata Acacia wenyewe wamenyooka...wanafuata taratibu hawataki tena blah blah;

6. Ana maradhi.Hayo mengine tuyaache ila maradhi yanayomsumbua sasa ni kudhani anajua kuliko wote, juzi kayumba sana alipogundua katika Awamu ya 5 kama yeye anajua basi kuna waliomfundisha kujua.Kapanic mbaya sasa anabadili kauli ooh sikumaanisha zimeibwa;

7.Alizoea porojo zake zinambeba kwa sasa anapigwa facts yu hoi na waliomwamini sasa imekuwa ni kisa cha "Mitusi tu Kwa Instagram";

8. Mirija yake imekatwa kila kona ikiwemo mrija wa NSSF..kwa nini asipaniki;

9.Zama zimebadilika: Si tu Deo Filikunjombe hayupo (Mungu amrehemu) bali hata yale maburungutu ya dili waliyokuwa wanagawana hayapo tena.Lazima paniki ije juu; na

10. Wana ACT nao sasa wameanza kuhoji: imekuaje chama kinaongozwa na Mchumi halafu kikashindwa kuandaa hesabu za fedha; somo la awali kabisa katika ngazi yoyote ya uchumi, biashara au uhasibu!Nini kinafichwa? Siku mtakayojua ndio mtaelewa kwa nini kaka yuko kwenye "panic mode."
Siyo bure... Lazima mzazi wako mmoja ni mchawi
 
Mbona ameuliza ya msingi \? kama na wewe upo ujumbe rudisha fedha zetu acha
akili hizi
31118204_500352847028420_7381899898315690176_n.jpg
 
Pamoja na baadhi ya maekezo yako kuwa ya kweli kumhusu Zito, bado Zito ni lulu katika kubaini na kukosoa maovu ya serikali, haswa hili la 1.5 trillion kutokuonekana matumizi yake baada ya CAG kufanya Auditing. Wewe unaonekana ni mccm mufilisi wa ubongo wa kufikiri na kuelewa mambo.
 
Naona kila item ya hoja ulizotoa mwisho wa sentensi unashia "alizoea hela za kupiga sasa hakuna"....yaani hoja zote 10 essentially zinafanana!

Hakuna utawala mrahisi kuumbua kama utawala huu!Huu utawala ndio utampatia Zitto na Wapinzani wote wachokonozi political mileage....Hivyo upuuzi wako eti wapinzani wanakosa vilya kuongelea unafeli sana!

Lissu kwenye hii amefika status next to baba wa taifa sababu tu ya maamuzi mabovu.It was totally unnecessary!...Kwenye stupid decisions humo humo watu wa critiques wanapitia!

Japo mimi sio mshabiki wa Zitto,ila the way alivyo smart,utawala huu kwake ni mrahisi zaidi....una too much bad decisions na too much irregularities na uvunjanji mkubwa wa katiba ambapo ndio vinavyotakiwa na wapinzani..Hoja ni nyingi mnoo,upuuzi wako kua Zitto na wapinzani wanakosa hoja za kusimamia ni kutokana na ubongo wako ulikofikia,sisi wengine tunaona tofauti kabisa na wewe!
 
Pamoja na baadhi ya maekezo yako kuwa ya kweli kumhusu Zito, bado Zito ni lulu katika kubaini na kukosoa maovu ya serikali, haswa hili la 1.5 trillion kutokuonekana matumizi yake baada ya CAG kufanya Auditing. Wewe unaonekana ni mccm mufilisi wa ubongo wa kufikiri na kuelewa mambo.

Halafu mkuu,wanashindwa kuelewa,Zitto is not some left over token nobody!

Mzee,he is a top class political jaggernaut....yaani all ccm put together,Zitto can school them any day of the week like dummies!

Wajipange sana aisee!
 
*SABABU 10 ZA "PANIC MODE" YA ZITTO KUWA JUU*

1. Alizoea kutisha watawala ananyenyekewe sasa kakutana na Chuma;

2. Anapenda cheo, mamlaka na sasa hana na hateuliwi hata kwenye Tume tu mana hata Umakamu wa Kamati za Bunge kakosa‍♂;

3.Tangu atoke PAC dili zimekata. Alitamani awe Mwenyekiti wa kudumu;

4.Bado anaweweseka hajui Msajili wa Vyama ataamua nini juu ya Chama chake kupiga mamilioni na kushindwa kuwasilisha ripoti kwa CAG‍♂;

5.Alizoea kupiga dili na makampuni makubwa hadi akashawishika kusomea uchumi wa madini ili apige zaidi sasa hata Acacia wenyewe wamenyooka...wanafuata taratibu hawataki tena blah blah;

6. Ana maradhi.Hayo mengine tuyaache ila maradhi yanayomsumbua sasa ni kudhani anajua kuliko wote, juzi kayumba sana alipogundua katika Awamu ya 5 kama yeye anajua basi kuna waliomfundisha kujua.Kapanic mbaya sasa anabadili kauli ooh sikumaanisha zimeibwa;

7.Alizoea porojo zake zinambeba kwa sasa anapigwa facts yu hoi na waliomwamini sasa imekuwa ni kisa cha "Mitusi tu Kwa Instagram";

8. Mirija yake imekatwa kila kona ikiwemo mrija wa NSSF..kwa nini asipaniki;

9.Zama zimebadilika: Si tu Deo Filikunjombe hayupo (Mungu amrehemu) bali hata yale maburungutu ya dili waliyokuwa wanagawana hayapo tena.Lazima paniki ije juu; na

10. Wana ACT nao sasa wameanza kuhoji: imekuaje chama kinaongozwa na Mchumi halafu kikashindwa kuandaa hesabu za fedha; somo la awali kabisa katika ngazi yoyote ya uchumi, biashara au uhasibu!Nini kinafichwa? Siku mtakayojua ndio mtaelewa kwa nini kaka yuko kwenye "panic mode."
nyie ndio wapuuzi ambao hamkustahili kuwepo ktk safari ya ukombozi,sijaona point hata moja uliyoandika zaid ya kimba.....tafakar na ikiwezekana futa hii thread yako mapema maana unajaza nzi tu
 
Vitisho haviwezi kusaidia, tunataka maelezo ya kina wapi imeenda trillion 1.5 ya wananchi na walipa Kodi Tanzania
 
Back
Top Bottom