Nilie Filisika
Member
- May 31, 2015
- 19
- 6
Kiukweli kama kweli twaitakia mema nchi yetu ni vema tukakubaliana kukubaliana juu nguvu ya CHADEMA na UKAWA katika Siasa za nchii hii hasa mwaka huu wa uchaguzi kiliko sisi CCM tujifanyapo hatuoni na kujitia upofu kwa kauli nyepesi mwishoe tutazoea kauli zetu na kubeza nguvu za hawa jamaa na tukaishia kwa aibu mara mbili zaidi ya ambavyo tungeweza kufanya..hata wakitupiga basi iwe kiustaarabu kiliko tukipigwa kwa aibu si vema kwetu sisi watawala hata kihistoria na ndio mwanzo wa kuruhusu kufa kamili kwa chama..KHERI NUSU SHARI KILIKO SHARI KAMILI. Wahenga walisema na wala sio maneno yangu haya.
Tazama Hizo picha ni mikutano mitatu tofauti yenye misismimko ya hatari hapo nj zanzibar..Mwanza na Mbeya....TUJIPANGE NA TUSISUBIRI KUPANGWA VINGINEVYO ITALAZIMU KUPANGWA KAMA AMBAVYO MPAKA SASA ASILIMIA 70% zinaeleza kwa upepo huu makada wenzangu.