MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,707
- 71,073
Ndo yale yale kama mambo ya simu.
Watu mmeoana lakini eti kila mtu ana simu yake ambayo mwenzake haruhusiwi kuigusa!
Kuna nini humo kwenye simu ambayo hutaki mwenzio ayaone?
Eti simu yangu ni yangu na yake ni yake.
Alaaaa! Mbona papuchi ni yako na mboli ni yake lakini mnaachiana mshikane.....
Nakubaliana na wewe 100%. Kama simu umepiga pini mtu asiiguse, mtu hawezi hata kushika na kuangalia picha ulizopiga(mfano), wakati huyo mtu mnalala nae uchi wa mnyama, huyu mtu atawezaje kukuambia pini ya benki, au kiwanja alichonunua?Ndo yale yale kama mambo ya simu.
Watu mmeoana lakini eti kila mtu ana simu yake ambayo mwenzake haruhusiwi kuigusa!
Kuna nini humo kwenye simu ambayo hutaki mwenzio ayaone?
Eti simu yangu ni yangu na yake ni yake.
Alaaaa! Mbona papuchi ni yako na mboli ni yake lakini mnaachiana mshikane.....
Nakubaliana na wewe 100%. Kama simu umepiga pini mtu asiiguse, mtu hawezi hata kushika na kuangalia picha ulizopiga(mfano), wakati huyo mtu mnalala nae uchi wa mnyama, huyu mtu atawezaje kukuambia pini ya benki, au kiwanja alichonunua?
Kuna mambo madogo sana, lakini ndio yanaleta viashiria vya yale makubwa. Mimi nikishaona mtu kaweka pini kwenye simu tu, hata kama nilianza kuweka hisia... naziondoa ghafla.
Huwa inategemea na mwanamke unayetaka kufunguka kwake na kumtajia mali zako zote...kama si kichwa maji na anamjali mumewe sio mbaya akijua.
Ila just imagine ni wale wanawake wa kule wanapoua wame zao baada ya kutajirika na kujua mali za mume JE UTAMTAJIA MALI ZAKO ZOTE? common sense needs to be applied there aisee,
Kwani wakati unamuoa ukujua kabila lake fyuuuu
Nishashuhudia watoto wanamuua baba yao kisa warithi mali......
Cha muhimu ni kuhakikisha watoto wanapata elimu ya kutosha, mtaji ili waweze kujitegemea na kujijingea uwezo wa kupambana na maisha.
Kinyume na hapo wakiongozwa na tamaa umekwisha.
Na kuna wanawake nao mapenzi yakishapungua hachelewi kufanya hivyo hivyo, tushashuhudia huku mtaani.
Hivyo inategemea uliyenaye ila cha muhimu ni kuandikisha kila kilicho chako na kuhifadhi mahali ambapo ukifariki ni muhimu kusomwa mbele ya familia.
Wakati mwingine maisha yanatabuu zake na mahangaiko.
Mtoa Mada Mungu Akubariki Sana Kwa Somo Zuri.
Ktk Ndoa Mume Akiondoka, Mali Zote Zinabaki Chini Ya Mke, Kwan Yeye Ndiye Tuliyeangaika Nae Ktk Kutafuta. Yeye Ndio Atagawa Urithi Au Kumgawia Ndugu Atakavyopenda, Lakini Ndugu Yeyote Ni Marufuku Kuingilia Mali Zangu, Nao Watafute Za Kwao.
Kwa Iyo Ni Kosa Kwa Mume Au Mke Kumficha Mwenzake Mali

Kwa maoni yangu sio sawa
Ila kilianza kipi , kuku au yai maaana siku hizi wanawake wako active sana kwenye vikundi sio mtaani sio social media kufundishana namna ya kuchuma na kuficha mali mume asijue?

Kwa sasa ubinafsi umekithiri, mtu mpo pamoja kila anachotaka kufanya anaenda kuwashirikisha kwao sio wewe, khaa!!!
Yaani, yapo ya pamoja na yapo ya kila mtu peke yake.