Usiri ajira TISS

Ni moja ya ndoto yangu kupata nafasi katika idara ya usalama wa taifa, napenda sana
 
Ukajuaje yupo TISS? Tena Kwa proof
 
Kazi ya usalama wa taifa kisheria ni kukusanya,kuzichambua na kuzifikisha kunakohusika wenye mamlaka ya kuchukua hatua ni Rais wa inchi na Wala hawana uwezo wa kumshinikiza na hawana mamlaka ya kukamata Wala kushitaki kazi hiyo ni ya polis
 
Bro vijana wanapiga kazi inchi hii.vilaza hata kwenye familia wapo
 
Wabongo nyokko sana

Kwakuwa Wamarekani wanahalalisha ushoga basi inatulazimu nasi tuige

Mkinitukana Chawa wangu hawatawaacha...
ushoga upo sana kwenye jamii zetu, tangu miaka ya 1980 kuna mashoga kibao hapo kariakoo
unataka kulionyesha kuwa ni jambo jipya
 
Mkuu hiyo kazi imejaa Nepotism, Wanarithishana tu, Ukikaribia kustaafu unachomeka wanao wawili maisha yanaendelea. Ndio mana wana vichwa vibovu vitupu. Hata Chinga muuza magamba ya simu unaweza mkuta yuko bright kuliko wao.
 
Imeharibika japo bado vifaa vipo.
 
Mkuu hiyo kazi imejaa Nepotism, Wanarithishana tu, Ukikaribia kustaafu unachomeka wanao wawili maisha yanaendelea. Ndio mana wana vichwa vibovu vitupu. Hata Chinga muuza magamba ya simu unaweza mkuta yuko bright kuliko wao.
Ni kweli ila kuna muda mfumo unamuhitaji mtu pasipo nepotism ila kwa manufaa yake huko kitengoni.
 
Watanzania waongo sana. Kila mtu anawajua TISS ki.vyake.

Tanzania hii, huwezi msikia mtu anasema neno "sijui" ni ivo tu, kamwe. We uliza tu utajibiwa, utapewa uhakika na vitjibitisho vyote. Na kila mtu atakupa ki.vyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…