BETTY MSIGWA
Member
- Aug 8, 2016
- 43
- 36
Jina lake Jeni (siyo jina halisi) ni mkazi wa hapa dar anatafuta kazi ndani ya jiji yoyote lakini siyo kujiuza na kuuza mwili wake. Lakini iwe kazi ya usafi au kuuza duka au mgahawa au hoteli anaweza na atafanya. Ni mkazi wa Kimara. Ukiguswa naomba comment au ni PM tuweze msaidia binti huyu (19).
NB: Kodi yake inaisha 30/10/2016 na hajui atalipa nini kama hadi muda huo atakuwa bado hajapata kazi. Naombeni msaada wenu wana Jamvi.
NB: Kodi yake inaisha 30/10/2016 na hajui atalipa nini kama hadi muda huo atakuwa bado hajapata kazi. Naombeni msaada wenu wana Jamvi.