moe junior
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 910
- 948
Wengine wanafunga uzi kutoka ktk sahani ya mzani then uzi unapita ktk meza ya mzani mpaka ktk kidole gumba cha mguu wa muuzaji... Anachokifanya ni kuvuta ule uzi kiasi anachopenda though huwez kujua
Ahahahahahah.......Na kama mnunuzi ni mpika supu asubuhi?
Kwa kweli, ndio maana wanatupiga bao kwenye supu zao.Ahahahahahah.......
Anunue tu.......
Nae aende akawaibie Wateja wake.....!
Amna namna Mkuu......Hahaaa we jamaa wewe badala ya kutatua tatizo!, unatakakila mtu ajijue mwenyewe?
.......hii ndiyo tabia yangu inakuwa nyingi
Kabisa mkuu.......
Mtoto Wa Mangi tena.....
Hiyo inakuja auto tuu.....
Ole wao.wapunjaoUle upande wa sahai huwa wameweka kitu (mfano sumaku ambayo imenasishwa upande wa chini)
Hilo jambo huwa wanalificha kwa kuweka jiwe la kilo kadhaa upande wa pili wa mzani..!
Sasa wakati anakuuzia nyama au hata bidhaa nyingine kama sukari au mchele, anaweka kabisa hiyo bidhaa kabla ya kuondoa yale mawe uliyoyakuta, akishaweka hiyo bidhaa yako (kwa makadirio) hapo ndio utaona anatoa yale mawe uliyoyakuta kisha anaweka jiwe lenye kilo unazohitaji wewe (mfano kama unataka mchele wa kilo 1 basi hapo ndipo ataweka jiwe la kilo 1), halafu ataanza kubalance kwa kupunguza huo mchele au kuongezea hadi mzani ubalance.
Tafsiri
Hapo maana yake ni kwamba lile jiwe la kilo moja limebalance na uzito wa mchele wako + sumaku aliyoinasisha chini ya sahani.
Let say sumaku ilikuwa ni robo kilo, basi mchele wako ni robo tatu ya kilo.
Hapo atachukua mchele wako atakuwekea kwenye package, utaondoka na robo tatu zako ila ile robo (sumaku yake) utamuachia muuza duka
Hii ni kweli hata wao wauzaji huwa wanasema nyama iliyoshinda buchani siku nzima inakua nyingi kwny mzani kuliko ukipimiwa ile mbichi ya asubuhiUkinunua Asubui nyama inakua na maji maji, pia inakua na damu hivyo uzito wake unakua Mkubwa, Ila ikitundikwa inakauka kwa hiyo uzito wake unapungua.......
Kilo moja ya asubui sio kilo moja ya Jioni Mkuu.......!