Usipunjwe tena nyama buchani

Usipunjwe tena nyama buchani

Me/ Ke!. Ukienda kununua nyama buchani utaona kuna kajiwe kadogo karobo ambako mudawote kapo kwenye mizani.

Kajiwe hako kanawekwa makusudi ili kukufanya usijue kama mizani imeelemea katika upande inapowekwa nyama.

Mwambie akatoe kabla hajaweka nyama kwenye mzani iliuone kama mzani upolevo.

Ukituliatuu ujue umepunjwa nusu ya robo, kwasababu baadhi ya wauzaji wanatabia ya kuchezea mizani.

Mwingine anaejua ujanjaujanja wao tujuzane hapa.
Tujitahidi kununua mboga kwenye butcher wanaotumia mizani za kieletroniki
 
Aaah! Ukifika mwambie akupimie nyama robo uone anavyohangaika.
 
Hawa watu ni wezi mno.nilinunuaga viazi kilo5 ila nikasgangaa vyepesii.nikafika nyumbani pemben kuna duka la mpemba.nikaona nijiridhishe.yaan nukakuta kilo nne na robo.yaaan
 
ndio kuna wazushi zaidi yenu mnajua kununua nyama nyie?
Tuombe radhi tafadhali tungekuwa hatununui tungejuaje.
sisi tunanunua sanatu wenzangu humu ni mashahidi.

Nyie mnalalamika tu hela haitoshi nyama kilo moja haitoshi, kumbe tatizo lipo buchani.
 
Siku hizi wamepewa mashine za kukata mifupa kwaiyo kwenye nyama lazima wakupe mfupa kwaiyo unakuta mfupa unakilo zake na nyama zinakilo zake kwaiyo siku hizi wanatupiga kupitia mifupa
 
wauza bucha wote wachawi, sababu ukienda buchani wazo la kuzulumiwa kipimo na kukuuziwa kilaza au nyama ilio oza linakutoka, ukutoka hapo ndio unankumbuka
 
Me/ Ke!. Ukienda kununua nyama buchani utaona kuna kajiwe kadogo karobo ambako mudawote kapo kwenye mizani.

Kajiwe hako kanawekwa makusudi ili kukufanya usijue kama mizani imeelemea katika upande inapowekwa nyama.

Mwambie akatoe kabla hajaweka nyama kwenye mzani iliuone kama mzani upolevo.

Ukituliatuu ujue umepunjwa nusu ya robo, kwasababu baadhi ya wauzaji wanatabia ya kuchezea mizani.

Mwingine anaejua ujanjaujanja wao tujuzane hapa.
Mimi nilimzaba kibao sikuogopa kile kisu alichokuwa ameshika. Niligundua ana sumaku wakati anapima ana kutaimu anakabandika kwenye upande wa nyama na akisha kupimia anatoa nyama na ile sumaku haraka.
 
Wajinga ndio waliwao, siku hizi kuna mizani za Digital, siingii bucha yoyote kununua nyama kama hawana mzani wa Digital
 
Back
Top Bottom