usipoteze kura yako piga kura kwa charminglady Bhaaas!

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Jamani katika vitu ambavyo leo au kipindi hiki ninawaomba sana wa chitchat wenzangu ni hili swara la kura ya miss chitchat.ninawaomba kwa heshima na taadhima upige kura yako kwa charminglady

Chonde,chonde,chonde wana Chitchat......Usikubali kupoteza kura yako kumpigia mtu yoyote,kura yako ni kwa charminglady Bhaaas
 
Last edited by a moderator:

mmmm?....ngoja nikae mbali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom