Usiposoma A-level ni shida chuo kikuu!

Usiposoma A-level ni shida chuo kikuu!

Kwaiyo unahisi kutusua diploma inakupa guarantee ya kutusua degree jua wengi wanaotokea diploma huko ni uwezo mdogo failures walioshindwa kua admitted a level so wakienda vyuo vyenye mishe mishe hawatusui iyo degree unayoongelea wewe , nimesoma civil engineering udsm na hao wenye diploma aliefanikiwa kufika 4th yr ni mmoja nae kagemua kwa shida, UDSM sio friendly kabisa kwa diploma holders na inservice kutusua always inawawia vigumu sana
Kusema wanaosoma diploma hawakupata alama nzuri za kuwapeleka adv hapo mi nitakukatalia labda kama hujui mambo ya techcal college hasa Dit,Must na Atc,ila kwa kesi ya udsm hilo liko wazi linajulikana toka zaman
 
mnambeza bure tu mtoa mada.. ila yuko sahihi kwa kiasi kikubwa japo pia uelewa wa mtu ni kitu muhimu kuliko alikopita.

mfano..
kuna somo linaitwa engineering mechanics.. kwa hapa ninaposoma linasomwa mwaka wa kwanza.. hapo ni vectors 3D na ku-resolve force.. inwapa taabu sana watu tunaosoma nao waliopita diploma(sina maana kua mimi ndo master.. ila atleast) kuna koz za hesabu.. electronics.. magnetisms static electricity... ambazo kwa aliyesoma advance anakua na mwanga..
Mpaka kulisolve haaaa,hapo tatizo sio diploma labda ni wao wenyewe
 
Daaa, kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.
Kwa kweli kama lecture iko fasta sijui utaikamatia wapi?
 
Kwaiyo unahisi kutusua diploma inakupa guarantee ya kutusua degree jua wengi wanaotokea diploma huko ni uwezo mdogo failures walioshindwa kua admitted a level so wakienda vyuo vyenye mishe mishe hawatusui iyo degree unayoongelea wewe , nimesoma civil engineering udsm na hao wenye diploma aliefanikiwa kufika 4th yr ni mmoja nae kagemua kwa shida, UDSM sio friendly kabisa kwa diploma holders na inservice kutusua always inawawia vigumu sana
Kwa taarifa yako ukiwa na div 3 ni rahs zaid kuchaguliw Advance kuliko dit
 
Form 6 ni kupoteza muda tu baadhi ya nchi hazina hiyo form
hata nchi jirani hawaiti form six ila ni lazima, wanasoma primary mpk grade 8 then secondary Grade12(ingekuwa form five kwa mfumo wetu) na chuo kozi zote zinaanzia 4 years kuendelea idadi sawa tu kwa miaka ya kusoma.
 
Kwa taarifa yako ukiwa na div 3 ni rahs zaid kuchaguliw Advance kuliko dit
Kawadanganye wasiojua wanaoenda hizo technical college most of them ni div 3 , sema kwnye science wanakua wamefaulu kidogo
 
mkuu huo ndo ukweli ila wengi hawapendi kuusikia.ndo mana wengi wao wakija CoET wanaliwa vichwa.
mfumo wa elimu siku hizi umechakachuliwa, wengi wanaoenda technical college hawajafanya vzuri mtihani wa kidato nne ila wanakuwa na ufaulu hafifu wa masomo ya sayansi.technical college zilkua zinaheshimika zamani enzi hzo kuna shule za ufundi vijana walikua wanaandaliwa vzuri kuja kujiunga na technical college lakin siku hzi hamna kitu kabisa,wapi tanga tech,wapi ifunda tech,wapi iyunga ukiangalia matokeo ya hzo shule form four kwa miaka hii yanatia kichefuchefu@samuel faraj

kawadanganye wasiojua wanaoenda hizo technical college most of them ni div 3 , sema kwnye science wanakua wamefaulu kidogo
 
Kawadanganye wasiojua wanaoenda hizo technical college most of them ni div 3 , sema kwnye science wanakua wamefaulu kidogo
Intake yetu hakuna aliekuja dit na div 2,watu wameingia mpk na point 8
 
Intake yetu hakuna aliekuja dit na div 2,watu wameingia mpk na point 8

nna mashaka na huu mchango wako... ila poa kwa vile uzi umekua wa ushindani kati ya walopita advance na walipotia college hamna shida unaweza kuandika chochote... ili mradi upande wenu uonekane wa kitabe zaidi...
 
WANAJAMVI MBONA KILA ALIYEKUA QUOTED ANA AVATAR YANGU?
 
nna mashaka na huu mchango wako... ila poa kwa vile uzi umekua wa ushindani kati ya walopita advance na walipotia college hamna shida unaweza kuandika chochote... ili mradi upande wenu uonekane wa kitabe zaidi...
Well said mkuu hapa naona kila mtu anavutia kwake ila ukweli utabaki kua ukweli
 
Hahahaha ww watu wa diploma huku ndio wanshaini vibaya japo mm nimetokea A_level lkn najionea mwenyew mambo yanavyoenda
 
Daaa, kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.
Duh!! Lecture yuko faster!!!!!!! Shikamoo BRN
 
Back
Top Bottom