Kweli naamini ni shida kwa wale waliopita mkato; form iv-college-university kama wewe kabisa uliyepita form vi unaandika kama mtoto wa chekechea tena kiswahili tu kimekupa shida lugha ya malkia wa uzunguni itakuwaje sasa?
NB. Ni lecturer na si lecture kwa kile ulichokusudia kuandika.
Daaa, kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.
Ni kweli kabisa hasa kwa masomo ya sayansi.Usiposoma A-level ni shida chuo kikuu!
Inategemea hao wanachuo husika wanasoma masomo gani/ course gani. Mleta mada hoja yake ni kweli kwa baadhi ya masomo ya chuoni.Ukikua utaacha hiv ww unaenza degree umetoka form six na anaenza degree alietoka diploma na form 4 yake Nan walau ana idea ya hyo degree... Afu mwenzio unawezakuta baadhi ya masomo hasomi mwaka kwanza... Alishoma akiwa diploma..
njoo na F6 yako DIT uone kama ujaomba kuhamia CBE
Acha kutisha watu topic gani ya form four inaingia kwa topic ya form six? Ukiwa na form six ni advantage kubwa sana hasa kwa walio soma phy/maths
Njoo DIT kma hyo chemistry yako itakusaidia utaanza mweupee tena f6 huwa wanasoma masomo sawa na first year diploma. Kijna kama utasoma Education ndo f6 itakusaidia but nt Engineering
mijadala ya BRN ukimpa mtihani akeshe nao kesho ataingia na majibu kwenye paja hovyooo
DIT diploma ni 3yrs ambapo unasma module zaidi ya 60 alaf ukiingia bachelor unaendelezea kwa undani kidogo. sasa wale wanaotoka f6 huwa wanasoma miaka 4 mwaka wa kwanza wanasoma jujuu module walizosoma diploma kwa miaka 3 then wakiingia mwaka wa 2 ndo wanakutana na diploma sasa apo ndo utajua umuhimu wa diploma
Ukikua utaacha hiv ww unaenza degree umetoka form six na anaenza degree alietoka diploma na form 4 yake Nan walau ana idea ya hyo degree... Afu mwenzio unawezakuta baadhi ya masomo hasomi mwaka kwanza... Alishoma akiwa diploma..
Dogo acha kudanganya kumbe wewe ukijui chuo chako sifa ya kusoma diploma ni kuwa na average ya c lkn kigezo cha MTU kusoma degree yule wa form six yeye atasoma miaka 4 sasa wewe uliyepata diploma na form four unajua utasoma miaka mingapi iliupate degree yako?
Phy/maths hauoni hapo? Wewe si D.I.T diploma iko ya a in a moja hapo kwenu? Interms of duration?