wewe binti ambae mume
wa mtu anakuja na kujifanya kukulalamikia matatizo kati yake na mkewe na
kumpaka kwako ili wewe ujione ndio wewe usidanganyike,jua huyo ni kimeo
tu ni njia ya kuitengeneza saikolojia yako kua wewe ndo bora kumbe
umeliwa. ukiona hivo kimbia kwa spidi kali kadri miguu yako inavyoweza
kukubeba.
vivyo hivyo kijana wa kiume.