katibasitti
Member
- Nov 10, 2014
- 61
- 37
huyo nt anabana kazi maana kuna wakati nlikuwa nakutana naye sana border ya belt brdg dizunga
sema kuja kutumia rahisi maana ujanja umewazidi wataingia tu
Pole mkuu hii dunia imegeuza miguu juu kichwa chini.
Hata mabunti nao wanawajua wakija na malalamiko tu hauna shida kikubwa salio linasoma? Kujua ana mke au hana haiwasumbui hata kidogo.
wewe binti ambae mume wa mtu anakuja na kujifanya kukulalamikia matatizo kati yake na mkewe na kumpaka kwako ili wewe ujione ndio wewe usidanganyike,jua huyo ni kimeo tu ni njia ya kuitengeneza saikolojia yako kua wewe ndo bora kumbe umeliwa. ukiona hivo kimbia kwa spidi kali kadri miguu yako inavyoweza kukubeba.
vivyo hivyo kijana wa kiume.
Nimeipenda ila sijui jinsi ya kudownload
Kama unatumia computer download internet download manager unapoclick kucheza inakuja option ya kudownload
Umeibiwa mme?