Oltung'anyi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 284
- 197
- Thread starter
-
- #101
Unaona sasa hapo? Tofauti ya mie na wewe ni kwamba mimi nazungumza vitu ambavyo naviexperience kutokana na uwepo wangu hapa duniani na kumbuka kuwa unaposema mtu kuwepo au kutowepo tunakusudia uwepo wa hapa duniani,sasa wewe unazungumzia vitu vya kufikirika tu.
Kwa kuwa tunazungumzia kuwepo hapa duniani na mie kuwepo kwangu duniani najua kabisa mtu ambaye bado hajazaliwa(hayupo) hana athari yeyote kwa huku duniani,na mtu akifa huiacha dunia uwepo wake unakuwa umeondoka hapa duniani.
Sasa ni ajabu kuacha mambo ambayo unayashuhudia na kutaka kutumia mambo ya kufikirika,halafu pia uthibitisho haufanyi jambo liwepo bali uthibitisho unatoa uhakika wa kuwepo hilo jambo ni suala la kujiridhisha.
Kwahiyo mie kabla ya kuja duniani dunia ilikuwepo(nimetumia uzowefu wangu wa uwepo wa hapa duniani) hata kama nilikuwa sijui na nasingeweza kuthibitisha hilo kuwa kuna dunia.
Vitu vipo hata bila ya wewe kuvithibitisha.
Hata akili yako ipo japo huwezi kuithibitisha
Vitu vipo hata bila ya wewe kuvithibitisha.
Hata akili yako ipo japo huwezi kuithibitisha
Tambua Uwepo wa Mungu hautegemei uchambuzi unaofanywa na akili zetu.Hata ukiamua kufuata taratibu za kuthibitisha, jambo la kwanza ni lazima uwepo. Hata akili yako unayohitaji kuithibitisha haiwezi kuwepo bila wewe kuwepo.
All things start with an idea.
Siri ya uumbaji it's beyond human thinking. Majini, mapepo, mizimu, malaika na viumbe vingine visivyoonekana (visivyo na mwili bali nafsi) vinatuzidi kidogo kuhusu nini hasa siri ya uumbaji; vyote vinajua Mungu yupo na vinamuheshimu na kumwogopa; ila vingine vinafanya ujeuri tu sababu kiasi vinajua siri ya uumbaji.
Your ideas will keep on existing even after your death. All inventions lives on, even after the deaths of those who invented them....and your idea cannot come into existence without your existence.
Hilo ni suala la kutokujua na hivyo haina maana kuwa hicho usichokijua hakipo kisa wewe hukijui,mie nazungumza kwa kutumia uzowefu ila wewe mkuu unazungumzia ya kufikirika yenye kupingana na uhalisia uliyopo na unataka hayo ya kufikirika yawe na athari kwenye mambo yenye uhalisia.
Oltunganyi, unaweza Ukanieleza chumba ni nini? Je, chumba ni kuta na paa? Au vitu vilivyomo ndani ya chumba?
Kiukweli jibu ni kwamba chumba ni empty space or nothing. Nothing can exist without nothing.
Jombaaaa vitu vipo hata bila ya wewe kuvithibitisha. Your dream house it's an imaginary but yet existSijui nimekuelewa vyema ndugu? Kwamba bila kuta na pengine paa, chumba kinaweza kuwepo au ni ile nafasi tupu? Kwamba, unaweza kufika mahali ukasema unaingia chumbanni kwenye empty space. Hakuna kinachoweza kuwepo bila kuwepo kwa kitu.
Your ideas will keep on existing even after your death. All inventions lives on, even after the deaths of those who invented them
Hatuelewani! Ninasema kuwa, KUTOKUJUA KWAKO KWAMBA KITU KIPO, HAKUKIFANYI KUTOKUWEPO! UWEPO WAKO WEWE HAUFANYI KITU KISIWEPO KWA SABABU TU HUJUI KUWA KIPO!! AND THE FACT IS, WEWE UPO. USINGEKUWEPO, THAT COULD BE ANOTHER CASE. UNLESS KAMA WEWE MADAI YAKO KWA SASA NI KUWA HAUPO, WHICH IS WRONG KWA SABABU FACT INAONYESHA KWAMBA UPO!
How can my imaginary house exist without my existence? Hoja ndio ipo hapa, kwamba vitu vipo kwa kuwa mimi nipo. Nisipokuwepo, hakuna kilichopo.Jombaaaa vitu vipo hata bila ya wewe kuvithibitisha. Your dream house it's an imaginary but yet exist
Mkuu, ninafurahi kuwa bado tupo pamoja. Maelezo yako yanasisitiza umuhimu wa wewe kuwepo. Hiki ndicho kiini cha mada, kwamba uwepo wako ndio unaosababisha kila kitu kiwepo. Unashuhudia mambo (ya duniani) kwa kuwa upo. Hakuna namna unaweza kushuhudia mambo (ya duniani) usipokuwepo. Je, tuisemee vipi hali ya wewe kushindwa kushuhudia mambo ya dunia milele katika hali yako ya kutokuwepo milele?
Hata mifumo ya siasa ni ideas za watu.... Shati ulovaa hapo Mwanza lilikuwa wazo LA mtu. Na sasa hao watu hawaishi duniani tena lakini mawazo yao yapo yanaishi.Baada ya kifo changu, hakuna kitakachokuwepo, hata mawazo yangu.
Kuna siku ambayo sitakuwepo kama mabavyo sikuwepo, je unaweza kuelezea katika hali hii, ki kipi kitakuwepo kwa upande wangu?
Jinga kabisa wew . Unafikiri hiyo suruali ulovaa iliumbwa kama wewe ulivoumbwa?How can my imaginary house exist without my existence? Hoja ndio ipo hapa, kwamba vitu vipo kwa kuwa mimi nipo. Nisipokuwepo, hakuna kilichopo.
Hata mifumo ya siasa ni ideas za watu.... Shati ulovaa hapo Mwanza lilikuwa wazo LA mtu. Na sasa hao watu hawaishi duniani tena lakini mawazo yao yapo yanaishi.
Uhalisia ni haya yote nayokueleza mimi ndiyo uhalisia wenye mkuu,ni tofauti na wewe unayezungumzia jambo la kufikirika.Uhalisia ni wewe kuwepo au vitu kuwepo au wewe na vitu kuwepo mkuu? Mbona ninaona hali ya kutokuwepo ama kuwepo inakuwepo pale wewe unapokuwepo tu? Mimi nisipokuwepo, hali ya kutokuwepo kwangu itakuwepo kwa kuwa wewe upo ila, hali ya kutokuwepo kwangu ina sababisha kwangu mimi kusiwepo na chochote kabisa. Ni sawa na kusema mtu aomboleze msiba wake mwenyewe. Kumbuka mada ni usipokuwepo, hakuna kilichopo.
Huo uelewa wa baada ya kifo chako wewe umeutoa wapi? unawezaje kujua mambo ya baada ya kifo hali ya kuwa upo hai na hujawahi kufa?Baada ya kifo changu, hakuna kitakachokuwepo, hata mawazo yangu.
Kuna siku ambayo sitakuwepo kama mabavyo sikuwepo, je unaweza kuelezea katika hali hii, ki kipi kitakuwepo kwa upande wangu?