Usipokuwepo, Hakuna Kilichopo!

Arusha kuna baridi mkuu hivyo utahisi hiyo baridi na ukirudishwa lazima uhisi hali Dar lazima uhisi hali ya hewa tofauti.

Hivyo unaweza usiiyone Arusha ila unacho ulicho experience na utaweza kuelezea,ni tofauti na kwamba haupo unafikiri utaeleza nini?
Usipokuwepo, huwezi kueleza chochote kwa sababu hakuna kilichopo cha kuelezea. Ila, ukiwepo, una uwezo wa kuelezea hali ya kutokuwepo ila si kuelezea kilichojiri wakati wa kutokuwepo kwani kwa kutokuwepo, hakukuwa na chochote.
 
Kwahiyo vipofu wote hawapo?

Labda nikuulize hivi baada ya kuzaliwa ndiyo unakuwa hai au uhai unaanzia kabla ya kuzaliwa?
Vipofu wapo. Labda swali liwe kwa kuwa macho hayatambui mwanga, je kwa vipofu kuna kitu mwanga?

Uhai unaanza baada ya mimba kutungwa na effect ya uwepo inaanzia hapo.
 
Back
Top Bottom