jimmykb197
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 484
- 487
Binafsi ninayo tafsiri ndiyo maana nathubutu kuelezea ninacho kielewa, pamoja na hayo ili kuthibitisha kile ninacho kielezea ni halisi nalazimika kuthibitisha kwa kupitia msingi na kiini cha maelezo yangu yaani Maandiko Matakatifu.Tatizo moja kubwa la mnaotumia maandiko ya vitabu vya dini, mnayatumia kama katiba. Hakuna kuwaza kuhusu tafsiri ya maandiko na namna yanavyokidhi mazingira, tamaduni, hali na wakati. Ndio maana kwa utaratibu huu, maandiko yanapingana tu. Jizoeshe kutafsiri maandiko badala ya kucopy tu na kupaste mistari.
Kama hamna uthibitisho zinabakia kuwa philosophy uchwara tu zinazoishia kwenye vitabu.Hata kama mnasema philosophy ni somo gumu, bado sio sahihi kutuvuruga huku!
Ndugu, ni rahisi sana kujadili tafsiri yako ya maandiko kuliko kuweka kifungu. Namna unavyotafsiri wewe yawezekana hata mchungaji wako akatafsiri tofauti kama inavyoweza kutokea kwangu. Kwa hiyo, ni muhimu kutafsiri ili nielewe kile unachokusudia.Binafsi ninayo tafsiri ndiyo maana nathubutu kuelezea ninacho kielewa, pamoja na hayo ili kuthibitisha kile ninacho kielezea ni halisi nalazimika kuthibitisha kwa kupitia msingi na kiini cha maelezo yangu yaani Maandiko Matakatifu.
Wewe mwenzangu unathibitisha vipi kuwa hoja zako ni halisi? Ikiwa bado yale unayo yatolea hoja bado hatuwezi kuyagusa ama kuyaona dhahiri kwa macho ya kibinadamu?
Usipokuwepo wapi mkuu hebu fafanua?Nisipokuwepo, au wewe usipokuwepo, hakuna jamii forums wala chochote, wala Mungu. Kabla ya kuwepo kwako, ulikuwa na kumbukumbu yoyote ya kuwepo kwa chochote? Hapana. Kwa hiyo hakuna kilichokuwepo hadi ulipokiwepo, siyo?
@Oltung'anyiNdio, usipokuwepo, hakuna kilichopo. Hata Mungu hayupo ikiwa wewe haupo. Ndio maana wapo wanaohoji kwamba kati yako na Mungu, nani wakwanza kuwepo.
Hoja hii inaweza kuwa na mashiko sana. Lazima uwepo ili Mungu awepo. Kwa hiyo, lazima wewe uwepo ili Mungu na kila kitu viwepo.
Ili uwepo uwepo,lazima wewe uwepo. Usipokuwepo, hakuna kilichopo.
NimekuelewaNdio, usipokuwepo, hakuna kilichopo. Hata Mungu hayupo ikiwa wewe haupo. Ndio maana wapo wanaohoji kwamba kati yako na Mungu, nani wakwanza kuwepo.
Hoja hii inaweza kuwa na mashiko sana. Lazima uwepo ili Mungu awepo. Kwa hiyo, lazima wewe uwepo ili Mungu na kila kitu viwepo.
Ili uwepo uwepo,lazima wewe uwepo. Usipokuwepo, hakuna kilichopo.
Asante ndugu kwa maoni yako. Kama Mwanafalsafa huyo asingekuwepo, ni dhahiri kuwa asingejikwaa na kwake kusingalikaa kutokea kwa kitu kinachoitwa kisiki. Hali kadhalika kwa Babu, kama sipo, hakuna kitu kinachoitwa babu. Hakuna babu wa mtu asiyekuwepo. Lazima uwepo ili babu awepo (hata kama hayupo tena, angalao utafahamu alikuwepo babu), lakini wewe usipokuwepo, babu hawezi kuwepo hata kama bado yupo.@Oltung'anyi
Unafanya makosa kubwa hapa, your premise is completely wrong! Kuna mwana falsafa mmoja aliwahi kujikwaa kwenye kisiki kwa sababu alikuwa hajakiona! Baada ya kujikwaa akagundua kuwa kumbe VITU HUWA VINAKUWEPO BILA KUJALI KAMA WEWE UNAJUA KUWA VIPO. Kwa mfano, babu wa babu yako anaweza kuwa alikuwa hajui kuwa Ulaya ipo, je ni kweli kwamba Ulaya haipo? Material things exist irrespective of the knowledge of the knower. Nikuulize swali jingine, kwa mfano wewe ulipokuwa bado haujazaliwa, maana yake ni kwamba hukuwepo. Je mama aliyekuzaa naye hakuwepo wakati huo ambao wewe ulikuwa haupo? Kama alikuwepo, je ulikuwa unajua kuwa alikuwepo?
Hali hii ya kuona kuwa Mungu ataendelea kuwepo ipo kwa kuwa wewe upo. Usipokuwepo, hakika hakuna kitakachokuwepo. Unaweza kuwaza kuwa wapo watakaokuwakilisha kuona kuwa Mungu yupo, ila ili ujue kuwa wapo wanaokuwakilisha na Mungu anaendelea kuwepo, lazima uwepo.Mungu alikuwepo kabla na ataendelea kuwepo hata kama binadamu na vibe vote hawata kuwepo.
kwahyo tukikunyonga leo ukifa na mungu anakua hayupo si ndio
Usipokuwepo wapi mkuu hebu fafanua?
Bado ubongo wako una njaa upe chakula ili ufikiri zaidi haiwezekan usipokuwepo na Mungu hayupo ninachojua Hata Kama haupo Mungu yupo
Nashukuru umeelewa,Haya maoni yako yanawezekana kwa kuwa wewe upo. Kwa hiyo, usipokuwepo, siyo haya maoni wala Mungu unayemjengea uwepo ataendelea kuwepo.
mkuu naona jamaa kajtahidi kukusuport ila umemkataaha ha ha! mkuu hapa umeingia pahala pengine! ya mungu mnayajua nyie,ndo maana hata sijamhusisha sorry kwa hilo
Ina maana mie nikifa hapa vitu ambavyo sasa vipo vitakuwa havipo?Kama hauishi mkuu.
ye kaja kimungumungu mi huko sipo kbs endapo yote yanaweza kushabiina lkn ni vitu 2 tofauti,sipendi unafki bure.mkuu naona jamaa kajtahidi kukusuport ila umemkataa