Usipocheka we mgonjwa! 18+ allowed

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Comment plz, could this be possible! Ha ha ha
 
Attachments

  • image001.jpg
    image001.jpg
    64.1 KB · Views: 433
aiss!hivi wenye hii proffessional huwa hawapimwi macho kabla!!!sijui kwa mkewe inakuwaje wakati wa mambo fulani!!!!
 
Duh! kweli hii kali...ila hata Muhi2 wapo this kind of Dk....kama waliweza operate m2 kichwa bidala ya mguu y nt that..lol!
 
Tehe tehe tehe ... Mie kimenichekesha ni Avatar yako!!!

ha ha ha AVATAR? ha! hio ni sura yangu halisi kbsa na kijijini kwetu mimi ndio handsome, nilipiga maeneo ya morogoro mjini nikiwa nafwatilia 4m mzumbe chuo miaka ya nyuma. tena wajemeni natafuta MCHUMBa.
 
Mwanangu ukienda Congo umeliwa, Nasikia Sokwe wote wameisha!
 
Mwanangu ukienda Congo umeliwa, Nasikia Sokwe wote wameisha!

Da! Umenivunja moyo sana, am i that ugly dude? mbona kuna msichana na chatigi naye ananiambia hello baby boy...hi cute? au ananichora? kwa hiyo nafanana na masoud au Remmy?
 
...kwani umekosa kabisa huko Australia mpaka uje kutafuta huku bongo?!

STEVE D whats up ma bro! umenichekesha sana, unanitisha iskute na wewe ni wale wataalamu wa network itelegence, natafuta mchumba jamani Steve nitoe mwanangu sipati japo kijipato ninacho mboga haipigi chenga,
 
Ungekuwa Bongo ningekushauri uanzie Jollys. Vilevile kulekule Morogoro ungeweza kupata vitumbua vilivyoingia mchanga, wewe kazi yako ingekuwa ni kupangusa na kung'ata tu hahahaha
 
Ungekuwa Bongo ningekushauri uanzie Jollys. Vilevile kulekule Morogoro ungeweza kupata vitumbua vilivyoingia mchanga, wewe kazi yako ingekuwa ni kupangusa na kung'ata tu hahahaha

Mundu sitaki Malaya nataka mke...au mchumba we! Jolly kuna wachumba?
 
Back
Top Bottom