Usipitwee.!

Anza tu kumuita shemeji kama umeshindwa kabisa hata kuomba namba ya simu.
 
Mwambie akutajie S.LP yake kisha mtumie barua ya maombi ya namba za simu...
 
What are you??? Yaani kwa haraka haraka unaonyesha kabisa huna mbele wala nyuma, yaani demu umtake wewe halafu ushindwe kumwambia! Unapewa ushauri eti unauliza "akikataa!?? Jeez is that our problem ??? Sikia kijana kama unauza maji ya viroba dont waste your time beutiful women are expensive....! Utatukanwa bure !!!! Halafu utashidwa kuapproach tena mwanamke mwingine siku nyingine anza na wale wa size yako
 
Yaani mada za siku hizi humu JF mpaka zinakatisha tamaa ya kuchangia....unabaki kujiuliza tu..huyu aliyepost huu uzi ni mwendawazimu au mwehu....au pengine chizi.....
Unakosa majibu unaamua kuzima kimchina chako unajipumzikia tu...
 
siuzi maji
 
Santee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…