Usipitwe na hii Thread I swear you gonna like it!!!!

duh aisee imenigusa kweli ...hata mie nahisi udomo zege huwa unaniponza sana............


bora umekuwa wazi, na kwa nin ujvunge ukipenda sehemu...kuwa jasiri-jitume mwanaume, ukisubiri uambiwe kama huyo jamaa ako, utaishia kula kwa macho
 
You can never have someone praise you,nor will anyone condemn you,never in the past,not at present and never will be in the future
 
Dah kazi kweli kuna mtu namfahamu ameoa jmosi iliyopita , sababu ya kuoa sio kwamba anampenda bidada ila kwakuwa ana ujauzito anajifungua mwezi ujao , from that staement i realized that men can sleep with a total of 1000 women and not love any among them . Wanaume muwe munafunguka tu ujue hata chemical reactions nyingine zinahitaji catalyst ili reaction iende msiwe domo zege
 
Very nice story. Nashindwa kuelewa kitu kimoja tuu, Je wewe miaka yote hiyo hukuwahi kumdate demu mwingine? because I am sure that angekuona na mtu mwingine angekutamani zaidi. Knowing women ndio agetaka asikupoteze.
 
somo zuri, ila hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume. kati ya hao wawili lazima kuna mmja anaumia zaidi kwa kumpenda mwenzake kimapenzi na wala si urafiki.
 
silent love____________usiipite bila kuisoma!!!!

Venue
chuo kikuu cha dar es salaam

1st year

nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu,lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo.
Baada ya leacture,alikuja kwangu na kuniomba notes za siku ya nyuma kwa sababu hakuweza kuingia darasani hiyo siku iliyopita.baada ya kumpa akasema "asante" na kushikana mikono na mimi.i wanted to tell her,i want her to know that i don't want us to be just friends,i love her but i'm just to shy,and i don't know why

2nd year

simu yangu iliita,kupokea alikuwa yeye alikuwa akilia akinielezea jinsi gani boyfriend wake broke her heart,she asked me to come over because she didn't want to be alone,kwa kuwa ni rafiki yangu kipenzi ilinibidi kwenda kumfariji,as i sat next to her on the sofa,nilikuwa nikimuangalia machoni nikitamani awe wangu.baada ya masaa mawili baada ya kuangalia nae movie mbili tatu na kula nae chakula pamoja akarudi katika hali yake ya kawaida,hivyo akaamua kwenda kulala,before akaniangalia na kuniambia "asante" na kunipa tabasamu tamu,i want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why.

3rd year

siku moja kabla ya tamasha la muziki chuoni alikuja kwenye meza yangu leacture room na kuniambia "boyfriend wangu amepata udhuru hivyo naomba unipe campan katika tamasha la muziki leo usiku" kwa kuwa tuliwekeana promice kwamba ikitokea kila mmoja wetu amekosa mtu wa ku-date nae basi tutaenda pamoja just as "bestfriends".hivyo tukaenda.
Katika tamasha baada ya kila kitu kuisha na muziki kufungwa,nilikuwa nimekaa nje ya ukumbi nikimuangalia jinsi alivyokuwa akicheka na rafiki zake,she saw me looking to her she smiled at me,i want her to be mine lakini yeye alikuwa hafikirii hilo kabisa na nilikuwa nikilitambua hilo,then she said to me "nimekuwa na muda mzuri na wewe asante sana" and she gave me a sweet smile.i want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why.

Graduation day

siku,wiki kisha mwezi ukapita ilikuwa ni mahafali yetu tukimaliza masomo ya chuo,akiinuka kwenda kutunukiwa shahada yake ya uchumi nilikuwa nikimuangalia akiwa amependeza sana siku ile,i wanted her to be mine,but she didn't notice me like that,and i knew it.
Kabla watu hawajatawanyika kwenda makwao,alikuja kwangu akiwa na vazi lake la mahafali,na kulia pale nilipomkumbatia akainua kichwa chake na kuniambia "you are my bestfriend asante sana" i want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why.

Miaka michache baadae

nikiwa kanisani yule msichana akiwa anaolewa sasa,nilimuangalia akisema "ndiyo nakubali " and drive off to new life,kaolewa na mwanaume mwingine,i wanted her to be mine,but she didn't see me like that,and i knew it.
But before she drove away,alikuja kwangu na kusema "asante sana" and kissed me on the cheek.i want to tell her to know that i dont us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why.

Kwenye mazishi

miaka ilipita i looked down katika jeneza lilokuwa na msichna ambaye alikuwa ni "bestfriend" wangu,katika service ya mazishi wakasoma diary ya bestfriend ambayo alikuwa akiiandika enzi za maisha ya chuo'

diary yake ilikuwa ilikuwa ikisomeka hivi
i stare at him napenda awe wangu,but he doesn't notice me like that,and i know it,i want to tell him,i want him to know that i dont want us to be just friends,i love him but i'm just to shy,and i dont know why.i wish he would tell me he loved me!

Nilipiga magoti huku nikilia nikijisemea moyoni i wish ningemwambia tu ukweli,nimeshachelewa sipo nae tena katangulia mbele za haki i cried!!

Vunja ukimya

thumbs up if it's touched your heart:(

...:d

shukuru mungu haukumpata......ungempata saizi ungekua ####"mjane"#####
 
hata angekukubalia bado siku ya mazishi ungelia kwa kumkosa milele na uchuvgu ungekuwa mkubwa kuliko wa kumkosa as a lover.
 
typical fictional story. labda cha kujiuliza, nini kimemuua? kama ni ngoma, bora ulikuwa domo zege...
 
umh! utakuta mwengine anakandamiza kabisa kukuita kaka!



tumblr_m8oynxIbCt1qa29c9o1_400.jpg



 
Ni kweli lkin wakat mwingine unaweza kujuta maana mahusiano na urafiki wa kawaida ni vitu viwil tofaut so mkianza mahusiano na mkapoteza urafiki wa kawaida utatamni tena kipindi cha urafiki kama mkianza kuzinguana ktk hayo mahusiano yenu.
 
real or made up it is TOUCHY.
kama alivyosema mdau mmojawapo...liwalo na liwe piga siasa jimbo likuelewe kama unapewa kura au hupewi ni suala lingine. kukataliwa inauma ila kawaida!
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom