Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,212
- 85,331
Ule mji wa saa mbovu....Ulifikiri Chato?
Ule mji wa saa mbovu....Ulifikiri Chato?
Kule kuna foleni ya ng'ombe mpk tumeamua kuziwekea traffic lightsUle mji wa saa mbovu....
Cc: Baba chato....Kule kuna foleni ya ng'ombe mpk tumeamua kuziwekea traffic lights
Saffiii mkuuu wazo kama hili wakati nafungua huu uzi limenijia .... kushuka chini naona comment yako daaa safiiInatakiwa kuwepo na thread maalum ya traffic kushituana barabara gani zina foleni na barabara gani ziko poa.
Sent from my Kimulimuli
Naam, naam.Saffiii mkuuu wazo kama hili wakati nafungua huu uzi limenijia .... kushuka chini naona comment yako daaa safii
Barabara zenyewe ni;
1. Mandela
2. Morogoro
3. Nyerere
4. Uhuru
5. Ali Hassan Mwinyi
6. Kawawa
7. Bagamoyo
Kuwe na thread ya kuhabarishana hizi foleni manake leo hali ni mbaya sana.
Kawawa Road pia,Ndugu wana jf. sasa hivi barabara ya mandela kipande cha tazara kuelekea buguruni mpaka ubungo magari hayatembei nimasaa mawili sasa,inasemekana kuna kiongozi anataraiwa kupita nyerere road akitokea airport. tahadhari kwa waliobado kuingia kwenye barabara hii watafute njia mbadala.mchana mwema wadau.
Hivi ndo alikuwa anaenda kuchukuliwa airport? Maana nimeona msafara ndo unakoelekeaItakuwa ni msafara wa rais wa Misri.
Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
Ni kweli kabisa mkuu,nyumbani ni nyumbani. Tuna mapungufu yetu lakini siyo haba,tunasonga.Halafu kuna mjinga mmoja Jestkilla atakwambia "barabara zenyewe tano tu mnataka kuhabarishana ili iweje?".
Watu wana ulimbukeni fulani hivi wakishatoka nje ya Tanzania tu wanajiona kamawamefika mbinguni wanaleta post za chuki ya kuchukia kwao wenyewe bila hata ya kuwa na kiasi.
Watu tumekaa viwanja vikubwa barabara zina lane nane nane na kupandiana kama meanders za Mekong, lakini ikija kwenye kutoa mchango wa mawazo kuhusu kuboresha mambo nyumbani hatuwezi kuendeleza ulimbukeni wa chuki za kijinga.
Jamaa ameonyesha ulimbukeni wa hali ya juu.
Sasa watu wa kipande hicho wakija na kuanza kujadili namna gani daraja linaweza kujengwa ili liwe na manufaa zaidi, watu fulani wanaweza kuja hapa na kuponda.Ni kweli kabisa mkuu,nyumbani ni nyumbani. Tuna mapungufu yetu lakini siyo haba,tunasonga.
Leo kwenye gazeti la Daily News,nimeona tangazo la kuonyesha nia ya usanifu na usimamizi( Expression of Interest for Consultancy Service) kwa ajili ya Ujenzi wa daraja Jipya la Mto Wami-Eneo la Msata.
Mods fanyien kazi hili wazo itasaidia sana!!!Inatakiwa kuwepo na thread maalum ya traffic kushituana barabara gani zina foleni na barabara gani ziko poa.
Sent from my Kimulimuli
Ukianzia pugu kuna barabara ya vumbi inaishia vingunguti kwa sababu watu walijenga lakini wabomoa hivi sasa kupisha ujenzi wa reli mpya . Wanaweza wakafungua hii barabara wakaipangia ratiba ikifika saa kumi na moja gari ziende njia ya pugu tu wasije buguruni na amini magari madogo mengi yatapungua kwenye foleni na inawezekana maana kupanga ni kuamua na haina haja ya kuweka rami kuweka kifusi tu na bahati nzuri inapitikaSina uwezo wa kumkatisha tamaa mtu alieamua jambo flan ukikata tamaa kisa flan kasema unaonekana ulikurupuka af Roads hazijengwi mitandaoni mainjinia wa barabaraba ndio wanadizain na kujenga roads mfano wengi wenu hizi rapid transit mmezionea hapa ndio mnakengeuka uko buguruni wataka enda airport unapita wapi kwenda huko zaid ya boda boda huoni mmechelewa kama Nchi kujenga Mji mkuu mnabaki mnaishi kwa Imani rais wenu anasema tumwombee sasa tumekuja kujenga nchi au kusali rais aendlee kutawala.?? Reality n kua ni aibu kwa nchi ya Tz kua hivi na bado mpo mpo tu hamna hata dira kama Taifa mfanye lipi na lipi kwa muda upi.?
Halafu kuna mjinga mmoja Jestkilla atakwambia "barabara zenyewe tano tu mnataka kuhabarishana ili iweje?".
Watu wana ulimbukeni fulani hivi wakishatoka nje ya Tanzania tu wanajiona kamawamefika mbinguni wanaleta post za chuki ya kuchukia kwao wenyewe bila hata ya kuwa na kiasi.
Watu tumekaa viwanja vikubwa barabara zina lane nane nane na kupandiana kama meanders za Mekong, lakini ikija kwenye kutoa mchango wa mawazo kuhusu kuboresha mambo nyumbani hatuwezi kuendeleza ulimbukeni wa chuki za kijinga.
Jamaa ameonyesha ulimbukeni wa hali ya juu.