Usipitie barabara ya Mandela Dar sasa hivi

Tushabatizana majina tayari (et Mjinga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]) af me sio jamaa kaka angu pia usipanik sana co stor za hum hazibadilishi kitu
Majina ulianza wewe kwa post zako za kashfa kwamba haya mambo tumeyaona Buguruni, sasa ushasahau.

Wahenga walisema "mla ndizi husahau, mtupa maganda hasahau"na pia"mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu".

Kuhusu ku panic, do not flatter yourself.

Huna akili ya kunifanya ni panic. Mpaka mimi ku panic inahitajika akili.

Kwaakili yako ndogo hata nikipiga chafya tu ya "involuntary action" utaona nimepanic.

Kwa sababu hujazoea mijadala mikali.

Kam stori za humu hazibadilishikitu kaa kimya usiandike kitu basi.

FOH.
 
FOH.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] toka lini aliezaliwa africa akawa na akili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Shikamoo muhenga [emoji23]
 
Don't make me do it, I overdo it.

Consider this a fair warning.
 
Don't make me do it, I overdo it.

Consider this a fair warning.

Muhenga we noma hii language from kwa Malikia sielewi samahani lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom