Usipite bila Kusoma Wana JF

Poa mzee sema mfano me sina account huko ila uwa naenda msoma tu as a guest jamaa mmoja anaitwa 5h3t@n18
 
Ndugu zangu wana JF tumekuwa wote kwa mda Mrefu sana tukishare vitu mbalimbali
Nimefungua Account Twitter Kama familia ynagu ya JF Naomba mnifollow Mayunga234 Jina nalotumia JF ndilo nalotumia Twitter
WanaJF mkinifollow bas na mimi ntawafollow Back
#JF4Life Let support each other


Twitter Mayunga234
Huu upuuzi ndo usipite bila kusoma yaan tuje kukuinua huko twiita?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom