Ma professa wa Vyuo Vikuu Ugiriki wawatia aibu ma professa wa Vyuo Tanzania

CRITICAL MIND

JF-Expert Member
Sep 1, 2013
416
399
Sie wengine tulikuwa wadogo lakini tulifanikiwa kusoma historia na vitabu vya wasomi ambao kwa kiasi fulani walikuwa wanamageuzi. Kwa watu waliosoma social sciences University of Dar es Salaaam walikuwa wanasema kuwa ilikuwa wakishatoka kwenye lecture ya Human Rights by Issa Shivji (I'm not here to condem his stance on Katiba) bas wanaanza maandamano kudai rights zao.

Narudia mimi sikujaaliwa kusoma UD lakini kwa historia niliyoosoma na pia kusikiliza simulizi za waliosoma pale ilinipa picha namna gani hali ilivyokuwa hapo juu. Najua wana historia kama akina Mohammed Said wanaweza kuja kuniweka sawa lakini nijuavyo mimi kuwa U RADICAL ambao leo umebakia kwa akina Mchungaji Msigwa na akina Zitto ulianzia na mwalimu mwenyewe baada ya kuanzisha gazeti la CHECHE au kwa kiingereza SPARK ambayo kimsingi ilikuwani kuiga kile kijarida cha akina Lenin cha ISKRA na pia tusisahau kuwa hata Nkurumah kule Ghana alianzisha jarida kama hilo ili kuwaamsha wanafunzi na obviously na mambo ya Africa Socialism.

Kama ilivyokuwa mtandao wa JAMBO FORUMS jarida la CHECHE nalo halikukaa sana na likafa natural death. Lakini baada ya kufa kwa jarida la CHECHE vijana wa UD wakaja na jarida jipya la MAJIMAJI ambalo mmoja kati ya waahariri wake alikuwa akiitwa KARIM HIRJI. Wanasema kuwa kuanzia 1961 mpaka 1967 UD ilikuwa imejaa ma radical wa kila namna na in otherwrds ilikuwa ni mtambo wa kutoa watu wenye ideas za kila namna. Ilikuwa kama ndio UC BERKELEY, SOAS na LONDON SCHOOL OF ECONOMICS (siku hizi wanaiita London School of Extremists) rolled in 1.

Hapa nazungumzia akina Zakhia Mghji, Yoweri Museveni, George P George G. Hajivavanis, Walter Rodney (Huyu kile kitabu chake cha How Europe Underdeveloped Africa kilinipa ujiko kichizi wakati niko Uni mwaka wa kwanza maana wenzangu walikuwa hawajakisoma na module tutor wangu alikuwa mzungu lakini Pan Africanist wa kwenda kwa mbele), Ali Mazrui, Nizar Visram, Willy Mutuga, Bakari Mwapachu, Wamba Dia Wamba, Abdulrahman Babu, Mahmood Mamdani,Ngugi wa Thiongo,Dan Nabudere,Yash Tandon, Hamza Njozi, Abdulatif Abdallah, Grant Kamenju, Arnold Kettle,MM Mulokozi, Bernard Bakileki, Ali Mchumo, Samuel Sitta ( Ndio huyu huyu fisadi Sitta alikuwa radical), Jenerali Ulimwengu,Irene Ginwalla, Richard Gott, Naijuka Kahiswa, Haroub Othman,Goran Hyden,Archie Mafeje, Ahmed Rajab, Salim Ahmed Salim, Abdallah Bujra, Chris Peter Maina,Faraj Tamim,Rwekeza Mukandala, Palamagamba Kabudi, L Lwaitama.

Nisiwachoshe sana na majina ya hao wasomi lakini nataka niwajulishe kuwa vugu vugu lililotokea Greece lina siri kubwa na siri yenyewe ni kuwa UNLIKE hawa wasomi na ma professa wetu huku Tanzania, Kule ugiriki ma professa waliamua ku embrace NEW MEDIA/TECHNOLOGY kama vile BLOGS na TWITTER na kuwa engage wananchi moja kwa moja. Hawakuwa na discussion forum ambayo ilikuwa ina command and control bali unakuta huyu waziri mpya wa fedha wa Ugiriki alikuwa ni blogga maarufu sana wa masuala ya uchumi. Hivi mnadhani kama Intellectuals wa Tanzania wangekuwa wana engage wananchi na kuwaamsha kimawazo kwenye zama hizi za WHATSAPP na TWITTER tungekuwa wapi?

Sasa cha kujiuliza, kwa nini ma professa wetu wako out of touch? Hivi mtu kama ulimwengu na issa chivji, hamza njozi, Mukandala etc hawataki ku blog na ku engage with the wider public?

Sitaki kuwaharibia uhondo lakini article nzima hii hapa:

[h=1]Syriza's Rise Fueled by Professors-Turned-Politicians[/h]



NAOUSA, Greece-Wearing suit pants and a jacket, Costas Lapavitsas stood Wednesday afternoon on the floor of a steel-fabricating shop here and addressed a few dozen workers and small-business owners who smoked while sitting in plastic chairs. "I am not a career politician," he began.
Indeed. Mr. Lapavitsas 's political career is only a few weeks old. In Greece's elections Sunday, he is a parliamentary candidate for the leftist opposition party Syriza, which leads Prime Minister Antonis Samaras 's conservative party in the polls and could roil politics throughout Europe if it wins.
For more than 20 years, the 54-year-old Mr. Lapavitsas has taught economics at the University of London's School of Oriental and African Studies. Now, he is part of the cadre of academics-turned-politicians forging Syriza's economic thinking.



Greece's future in the eurozone could hinge on the outcome of Sunday's national election. Find out why.


European economic orthodoxy, led by Germany, has fought Greece's debt crisis with painful austerity-public-spending cuts and tax hikes-and other strict reforms. Syriza's rise is the most potent challenge yet to that orthodoxy.
If Syriza wins, it could embolden left-wing parties in other countries, especially Spain, where political tensions also are boiling. It could even result in a rift with Germany that ruptures the euro.
The economic plan advanced by Mr. Lapavitsas and other professors aligned with Syriza is rooted in the core principles of debt forgiveness and higher government spending, which Germany has rejected.
"We need to renegotiate the logic," says Yanis Varoufakis, a visiting professor at the University of Texas at Austin until a few days ago. He describes himself as a "libertarian Marxist" and has been recruited by Syriza to run for a seat in Greece's parliament. His wife is heading to Austin to pack up their belongings for their move back to Athens.
WO-AV242_SYRIZA_16U_20150123152406.jpg
ENLARGE



A few years ago, Syriza was a fringe coalition of leftists. It jumped into the political mainstream in 2012 because of populist fervor and the party's charismatic young leader,Alexis Tsipras. But a muddy economic message left Syriza in second place-and out of power.
It has honed its focus since then, and Mr. Lapavitsas describes the party's platform as "a Keynesian program with redistribution attached, with some Marxist view of the world." He adds: "We are not ashamed of that."
In the tradition of John Maynard Keynes, Syriza advocates public spending to reignite economic growth. Greece can afford to spend more if some of its debt is forgiven by other countries.
Nikolaos Chountis, a Syriza candidate in Athens, ticks off the party's spending priorities: food and electricity subsidies for impoverished households, a pension boost for the poorest retirees, a hike in the minimum wage and tax cuts for low earners. "The legislation is ready," he says.
Since 2010, Greece's economic policy has largely been dictated by the "troika" of technocrats appointed by Europe and the International Monetary Fund to supervise Greece's €240 billion ($280 billion) bailout.
RELATED




The troika wields a memorandum that minutely details what Greece must do in return for the rescue. Section 5.1.2.6.ii. commits Greece to reviewing customs procedures for canned peaches and four other products.
More significantly, the bailout put ceilings on government spending and floors on revenue. It has cut pensions, subsidies and the public payroll.
"It has to be over," says George Stathakis, a University of Crete economist who won a parliamentary seat for Syriza in 2012 and is an economic adviser to Mr. Tsipras.
The party's first message to Europe would be "let's get rid of the memorandum," Mr. Stathakis says. Syriza is willing to agree to a balanced budget, adds John Milios, another Syriza economist, but he says it is "impossible" for Greece to pay down its debt while the economy is stagnant.
Greek Elections: The Parties and Leaders


ENLARGE



Naousa, where Mr. Lapavitsas is running for parliament, is in the steep foothills of the Vermio mountains in northern Greece. Naousa became a cotton-spinning center under Ottoman rule in the late 19th century. Its mills were powered by a stream that cut through town, tumbling to the wide Macedonian plain below.
The son of a doctor, Mr. Lapavitsas grew up in the area. He left to attend university in England. The area's cotton mills have steadily closed.
"Greece has been de-industrializing for 30 years, ever since Greece joined the European Union," he says Mr. Lapavitsas. "The period of the bailout has finished it off, basically."
From his academic perch in London, Mr. Lapavitsas challenged the German-led approach. In 2010, he began writing articles advocating that Greece leave the euro. He is close to Panagiotis Lafazanis, the leader of an anti-euro bloc inside Syriza, though Mr. Lapavitsas says he accepts Syriza's pro-euro position.
When elections were called in December, Mr. Lapavitsas says, local officials asked him to run. So he trundled Wednesday from a hospital visit past peach orchards and grapevines to the area's last cotton mill. He watched machines spin bales into ropes, ropes into strings, and strings into threads.
"We believe there are big political changes coming," he told workers, promising to raise Greece's minimum wage.
BN-GP074_SYRIZA_P_20150123144040.jpg
ENLARGE
Supporters of Alexis Tsipras, leader of the Syriza party, wave flags Thursday in the party's last rally before Greece's elections on Sunday. PHOTO: DPA/ABACA


Mr. Lapavitsas then drove to the steel-fabricating shop. He told workers and small-business owners that "we'll die" unless Greece can renegotiate its debt and unwind austerity.
Charalambos Kotsidis, one of the shop's owners, says he will vote for Syriza in Sunday's elections. Sales for the supplier of steel girders and plates to construction companies are down 80% in the past five years, he says. The number of employees has shriveled to 12 from 60.
"In a country where values have dropped 80%, you cannot demand that payment," he says of Greece's bailout debt. "It is the same in business."
A default in 2012 on Greek bonds wiped out most of what was owed to private investors. Much of Greece's remaining debt is owed to other eurozone countries. It expires decades from now and carries low interest rates.
But the European Central Bank holds about €7 billion in bonds that are due this summer and could become a flash point. Greece doesn't have enough cash to repay the bonds but can borrow the money if it sticks with the bailout.
"They know we can't pay it back, so they want to lend us the money," says Mr. Varoufakis, the former Texas professor. "I'll be damned if I'm part of a government that says yes to this."


Persuading Germany to change its mind seems like it will be a daunting challenge for Mr. Tsipras if Syriza wins and he becomes Greece's next prime minister. But Syriza could splinter if he backpedals on the party's promises.
On Wednesday evening, Mr. Lapavitsas prepared to address a rally at Naousa's auditorium. In the lobby, songwriter Kostas Kaldaras compared Greece's two once-dominant parties, which followed the troika's dictates, to the Symplegades, the mythical rocks at the mouth of the Black Sea that smashed passing ships.
"They crushed culture and social cohesion," Mr. Kaldaras said. Syriza would "start to change the form of the European Union from a primitive neoliberalism."
Mr. Lapavitsas told the crowd that Europe is a "continent of economic asphyxiation" with Greece at the "cutting edge" of the decline. "It has to be written off," he said of Greece's debt, acknowledging that the negotiations would be tough.
If the answer is no, "we will not back down," Mr. Lapavitsas said. "It is simple. We will not back down."
- Pavlos Zafiropoulos contributed to this article.

ZAIDI SOMA HII ARTICLE:

http://www.wsj.com/articles/syrizas-rise-fueled-by-professors-turned-politicians-1422045127


 
Mbona hamueleweki, si mnasema maprofessa wasishiriki siasa wabaki na kaziyao ya kushauri.! Mkasema siasa zinawaaribu, mkatoa na mfano kuwa Magembe, Muhongo, Msolwa, Anna,Ibrahim, na wengine kuwa wameangukia pua kisa siasa.
 
Angalia post
Nimeisoma ,na mukhtadha mkuu ulikuwa nini wasomi wetu wangefanya kisiasa ,tena wa vyuo vyote, UD mleta hoja kaitumia kama kiwakilishi cha vyuo ,focus ipo kwa wasomi wetu hakuleta hoja ya nani kasoma wapi au uniambie kama kuna kitu nime ki miss kutoka kwenye hoja kuu.
 
Very nice article. Anachomaanisha wasomi ni lazima wawe mstari wa mbele kwani wana uwezo wa kutambua haraka uelekeo wa nchi. Na kutokana na upeo wao wa kuchambua mambo mara nyingi huwa wanatoa sera za nchi zenye mashiko (zinazofaa).

Na kwa kufuata haki za binadamu si rahisi kuishia Mabwepande!
 
Umesema hukusoma UDSM na mimi nakubaliana na wewe kuwa vingi ulichoandika kuhusu UDSM siyo kweli.

Siyo kweli kuwa Nyerere ndiye aliyeanzisha kijarida cha CHECHE pale mlimani na kikajigia chenyewe. Nyerere ndiye alifuta kile kigazeti.

Kuwa eti Shivji alikuwa akimaliza akifundisha kipindi cha haki za binadamu wanafunzi walikuwa wanahamasika kuandamana kudai haki zao siyo kweli.

Salim Ahmed Salim hakusoma wala kufanya kazi UDSM

Kumbuka tu ile miaka ya 70 UDSM kulikuwa na Maprofesa na wahadhiri wengi ambao walikuwa Marxists na Nyerere hakuwapenda kwani siasa yake ilikuwa ya Ujamaa.

Kuhusu Greece tungojee. Nionavyo mimi hao jamaa watatolewa mkuku muda si mrefu. EU wakiamua kuwa hawatazungumza nao watapiga magoti
 
Umesema hukusoma UDSM na mimi nakubaliana na wewe kuwa vingi ulichoandika kuhusu UDSM siyo kweli.

Siyo kweli kuwa Nyerere ndiye aliyeanzisha kijarida cha CHECHE pale mlimani na kikajigia chenyewe. Nyerere ndiye alifuta kile kigazeti.

Kuwa eti Shivji alikuwa akimaliza akifundisha kipindi cha haki za binadamu wanafunzi walikuwa wanahamasika kuandamana kudai haki zao siyo kweli.

Salim Ahmed Salim hakusoma wala kufanya kazi UDSM

Kumbuka tu ile miaka ya 70 UDSM kulikuwa na Maprofesa na wahadhiri wengi ambao walikuwa Marxists na Nyerere hakuwapenda kwani siasa yake ilikuwa ya Ujamaa.

Kuhusu Greece tungojee. Nionavyo mimi hao jamaa watatolewa mkuku muda si mrefu. EU wakiamua kuwa hawatazungumza nao watapiga magoti

Mwandishi anasema Mwalimu alianzisha jarida la cheche , je mwalimu anayeongelewa hapa ni Nyerere au mwalimu fulani wa udsm enzi hizo??? Nauliza hivyo kwa sababu inaonekana kama muktadha mzima wa jarida ilikuwa kuamsha fikra za vijana wasomi, na mwandishi anaendelea mbele na kusema baada ya kufa jarida la cheche vijana wa udsm wakaja na jarida la Majimaji, mkuu CRITICAL MIND hebu rudi kidogo huku ...
 
Last edited by a moderator:
Umesema hukusoma UDSM na mimi nakubaliana na wewe kuwa vingi ulichoandika kuhusu UDSM siyo kweli.

Siyo kweli kuwa Nyerere ndiye aliyeanzisha kijarida cha CHECHE pale mlimani na kikajigia chenyewe. Nyerere ndiye alifuta kile kigazeti.

Kuwa eti Shivji alikuwa akimaliza akifundisha kipindi cha haki za binadamu wanafunzi walikuwa wanahamasika kuandamana kudai haki zao siyo kweli.

Salim Ahmed Salim hakusoma wala kufanya kazi UDSM

Kumbuka tu ile miaka ya 70 UDSM kulikuwa na Maprofesa na wahadhiri wengi ambao walikuwa Marxists na Nyerere hakuwapenda kwani siasa yake ilikuwa ya Ujamaa.

Kuhusu Greece tungojee. Nionavyo mimi hao jamaa watatolewa mkuku muda si mrefu. EU wakiamua kuwa hawatazungumza nao watapiga magoti
Eti wahadhiri wengi walikuwa Marxists na Nyerere hakuwapenda kwani siasa yake ilikuwa ya Ujamaa.

Jamani inatakiwa wengine mnyamaze tu kuliko kutudanganya wazi hapa JF.

Karl Marx ndiyo chimbuko la Marists na wakina Lenin, Angel, Mao, Nkrumah, Nyerere walikuwa wafuasi wa Kimax na Ujamaa ambao ni Socialism umo katika mapendekezo ya mapitio ya Mwanadamu katika nadharia za Kimax ie communal, slavery, feudal, capitalism, socialism.
 
Eti wahadhiri wengi walikuwa Marxists na Nyerere hakuwapenda kwani siasa yake ilikuwa ya Ujamaa.

Jamani inatakiwa wengine mnyamaze tu kuliko kutudanganya wazi hapa JF.

Karl Marx ndiyo chimbuko la Marists na wakina Lenin, Angel, Mao, Nkrumah, Nyerere walikuwa wafuasi wa Kimax na Ujamaa ambao ni Socialism umo katika mapendekezo ya mapitio ya Mwanadamu katika nadharia za Kimax ie communal, slavery, feudal, capitalism, socialism.

Hakuna ninayemdanganya hapa. Kumbuka kuwa hakuna pure socialism which is the highest stage of communism. But there are many countries which call themselves socialist countries. Pure communists don't agree with them and turn they also dont agree with communists.

If you read history you will find that Nyerere was heavily influenced by the Fabian society while in UK.

Maybe you can give us some reasons why Nyerere differed with the so called communist academics of UDSM
 
Unawasifu blogger wa ugiriki kwa mitandao ya wamerekani na kulaumu wamatumbi kufikia watu wengi kupitia twitter.

Haya bhana!
 
Dah haya wale wenye fani zao, me binafsi napenda aina ya viongozi wasiowanafiki kama lenin, hittler, mussolin, saddam,ghadafi nk... Kifupi nawaita wanyoosha mistari...
 
Moja na kuangalia frequently fliers Ndio wanaotorosha hela baada ya kuzi badili into forex , hivyo ma afisa usalama mipakani na airport na kwenye port wafanyakazi zao vizuri , na pia ku reshuffle Financial Intelligence Unit Kama report zao zina kosa nyama za kutosha.
Pia akae kwa karibu na CAG aliyepita Ludocic Utoh na hata Huyu wa sasa Maana report zao zime onyesha mapungufu mengi na Kama hazitoshelezi ni kuwaletea trainers wake wawapige msasa katika mambo ya money laundering na mengineyo
 
Back
Top Bottom