hongera mamaa huyo shemeji hana ndugu au rafiki yake nijiweke?
Ayayayayaaaaa shkamoo Kasie, nimekutamaniaje?[emoji39][emoji39][emoji39]
Ponda raha bibie,hakuna asiyependa hayo basi tu mifuko hairuhusu.
Hilo boti la dadii wako wa huko linafanana na lile la wasanii wanashoot nalo video.
Kama mambo yenyewe ndo hayo unajua hata kupika mkuu?
Mimi nimependa hapo kwenye mambo ya asali hapo,nionjeshe please!Sio tu kupika, nakarangiza balaa, nikikutengea msosi mezani lazima umeze mate kabla ya kula, ujing'ate wakati wa kula na ujilambe baada ya kumaliza kula......
Tena mapishi yote kuanzia asili hadi mapishi ya kutoka magharibi.
MJESHI UMEMTOSA UMEENDA KULIWA NA MWINGINESema..... mjeda kafanyeje tena.....
Mimi nimependa hapo kwenye mambo ya asali hapo,nionjeshe please!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kasie bhana!!Hahahahaaa basi hapa umefika.... utapata ugali wa dona kuku wa kienyeji aliyepikwa mchuzi na mboga za majani.
Ukikaa sawa unapata sato aliyeungwa na nazi au karanga na wali au ugali dona, mboga za majani muhimu.
Ukiwa hujisikii kula ntakupigia ugali wa dona dagaa wa Zanzibar nawa rosti kama makange na matembele.
Asubuhi utapata uji wa ulezi ulioungwa na maziwa au nazi pamoja na karanga.
Viazi vitamu au mihogo ya kuchemsha na chai ya maziwa.
Mayai ya kienyeji ya kuchemsha na maziwa na mahindi ya kuchemsha.
Ukitaka mlo maalum au spesheli pia utaupata. ... Kasie keshamaliza shule ila kilasiku anasoma na kujifunza.
Kasie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kasie bhana!!
Habari za wikiendi ndefu wotee,
Ijumaa nilitumiwa ticket na dadii na huku ndo nilikoandaliwamapumziko ya wikiendi ndefu......
Karibuni japo kwa macho...
View attachment 397995
Hilo ndo boti la dadii..... yanayofanyika huko hutakiwi kujua....
View attachment 397996
Mandhari ya nilipofikia ndo huyooo. ...wacha dadii aendelee kuishi miaka 100 hehehee nani asiye penda raha
View attachment 397997
Na hiko ndo chumba tunacholala kwa mbali kulia. Raha kujipa wenyewe tukingojea tuzo tutastaafu mambo haya hatujayafaidi.
View attachment 397998
Hahahahahaa mnayajua hayo madude? Ntawaletea zawadi nikirudi bongo.
Ni mtazamo wa aina ya maisha mtu (Kasie)anayochagua kuishi.
Angalizo:usiige maana waweza pasuka msamba. Ila kama na wewe ni mpenda furahia maisha na uumbaji wa mungu basi jiandae likizo kubwa mwezi wa 12.
Niwatakie maadhimisho ya sikukuu njema hii ya kesho hata sijui inaitweje sijui Idd elfitri au elhajj hata sijui mie najua ni mapumziko na kutopoteza wakati kufurahia maisha na uumbaji wa Mungu.