Usione naelea. .... Natunzwa. .....

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
19,414
2,000
Habari za wikiendi ndefu wotee,

Ijumaa nilitumiwa ticket na dadii na huku ndo nilikoandaliwamapumziko ya wikiendi ndefu......

Karibuni japo kwa macho...

best-of-seychelles-island-hopping.jpg

Hilo ndo boti la dadii..... yanayofanyika huko hutakiwi kujua....


20130419_090407_1_1.jpg

Mandhari ya nilipofikia ndo huyooo. ...wacha dadii aendelee kuishi miaka 100 hehehee nani asiye penda raha

seychelles-fregate-island-private.jpg

Na hiko ndo chumba tunacholala kwa mbali kulia. Raha kujipa wenyewe tukingojea tuzo tutastaafu mambo haya hatujayafaidi.

vallee-de-mai-nature.jpg

Hahahahahaa mnayajua hayo madude? Ntawaletea zawadi nikirudi bongo.

Ni mtazamo wa aina ya maisha mtu (Kasie)anayochagua kuishi.
Angalizo:usiige maana waweza pasuka msamba. Ila kama na wewe ni mpenda furahia maisha na uumbaji wa mungu basi jiandae likizo kubwa mwezi wa 12.

Niwatakie maadhimisho ya sikukuu njema hii ya kesho hata sijui inaitweje sijui Idd elfitri au elhajj hata sijui mie najua ni mapumziko na kutopoteza wakati kufurahia maisha na uumbaji wa Mungu.

Kasie.
 

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,775
2,000
Mbona hilo lidude la mkono wa kulia kwake hapo juu kama lina papuchi!!kwani ni li nini hilo mkuu
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
19,414
2,000
Mbona hilo lidude la mkono wa kulia kwake hapo juu kama lina papuchi!!kwani ni li nini hilo mkuu

Mke mwenyewe nilishangaa kama wewe

Hiyo inaitwa tembea uone... ntakuletea nikija na wewe ulione na kulishika hahahahahh
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom