Chukua muda wa kuzipumzisha hisiaWanaume tumeumbwa na ujasiri sana, na siyo rahisi kuonyesha udhaifu wake ata pale anapoona ameumizwa sana na mahusiano
Wengi wao huwa tunazuga kama hali hiyo haituumizi kumbe moyoni mwetu kunafukuta maumivu ambayo yanauma na ata umeze Lori la panadol sio rahisi kupata nafuu,binafsi hali hiyo imenikuta na kuna wakati natamani ata nisitoke nje kuona kinacho endelea ila ndio hivyo lazima maisha yaendelee.
Natamani nibadili namba ya simu pengine nahisi naweza kupata utulivu na kumkwepa ila nahisi nitapoteza watu wengi sana ambao tunasaidiana kimaisha,nipo kwenye msongo mzito sana wa mawazo
Hapa JF ndio sehemu pekee naweza kueleza hizi hisia ambazo siwezi Ku share na mtu yeyote physical ila nina uhakika na hili litapita.
Ahahaa....sawaa doctor,itapendeza SanaNitajitahidi kweli ili asiombe hata Referral πππ
πππnakausha brotherπππbrother mbona kama unataka kuniumbua hivi kwa mbaliπ€ͺπ€ͺ
Asante mkuu, sema kuna kitu kinakaa hapa kooni , huwezi kumeza wala kutema una hang hang tu . Hicho ndio tatizo ukipatwa na hali hii. Kiufupi inaumiza sana yani wala hujui la kufanyaPole Sana mkuu...ilishanitokea....ila muda ni mwamuzi mkubwa Sana nilishamsahau
Pole mkuuPole mkuu
Japo mie sio kutendwa.wala sikumkosea
Nlipatwa na majanga,ndo ikawa byebye
Nlilazwa muhimbili nahangaika kwenye wheel chair,masindano kama yote.yule nliemuona rafiki wa hata kunitext ujumbe wa faraja kaenda kwa wazima..mi kaniacha!
Tena ananiambia hivihivi kabisa mi na we bhasi.
Mapenzi yametawaliwa na unafki sana.
Usiombe kukutwa na bwana pepsi...
Asante mkuuPole mkuu
Weka zile lips pleaseπ π sawa brother.
Hiki kitengo cha mapenzi ni kigumu sana kaka.we acha tu
ππππWeka zile lips please
Ona sasa
Sawa brotherπππnakausha brother
Vijana sijui hawaelewagi niniNilishasema wanawake wapendeni kwa kiwango usijinyime kula kisa unawekeza pesa zako kwa mwanamke ukizani ndio utamfurahisha, usijiumize kitandani ukidhani ndio njia ya kumtuliza, hawa viumbe hata uwape nini huwa kuna mda wanabadilika tu, anaweza kutana na mtu ndani ya wiki moja na akamtunuku tunda kimasihara
Penda kwa kiasi mtakuja kulia