Usiombee kutendwa

Samahani mkuu hivi mnaosema mapenzi yanauma mlishawahi jigonga kwenye ncha ya kitanda na ugoko au kidole cha mwisho..? Anyway tuachane na hilo vipi ulishawahi kabwa roba ile inaitwa "usiempenda kaja..?"
Ila Basi ktk maisha kila mtu anajua maumivu yapi yamewahi kuwa makali kwake ila in serious way kabisa mkuu kaa ukijua afya njema ndio msingi wa starehe zote,so fanya juu chini afya iwe imepatikana imara utakuja nishukuru one day na utaelewa namaanisha Nini.
 
When you cool down your body temperature, your system responds by moving fresh blood. Anxiety may cause an increase in blood pressure, so in theory, a cold shower may help bring it down. Another way cold showers may work is by increasing endorphins, or the feel-good hormones in your brain.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Nilishasema wanawake wapendeni kwa kiwango usijinyime kula kisa unawekeza pesa zako kwa mwanamke ukizani ndio utamfurahisha, usijiumize kitandani ukidhani ndio njia ya kumtuliza, hawa viumbe hata uwape nini huwa kuna mda wanabadilika tu, anaweza kutana na mtu ndani ya wiki moja na akamtunuku tunda kimasihara

Penda kwa kiasi mtakuja kulia
 
Huyu wangu kama sio Mungu kunisaidi nilishawaza kuchulua Gobole la babu nikauwe mtu potelea mbali kwani shingapi? Sema hekima na mawazo ya wakubwa yamenisaidia sana mpaka leo
 
Huyu wangu kama sio Mungu kunisaidi nilishawaza kuchulua Gobole la babu nikauwe mtu potelea mbali kwani shingapi? Sema hekima na mawazo ya wakubwa yamenisaidia sana mpaka leo
Yani ukifanya mistake unaweza ukauwa kweli hawa watu ni majanga
 
Yani ukifanya mistake unaweza ukauwa kweli hawa watu ni majanga
Halafu ananichekea chekea tu kijinga, nikawaza hivi huyu anakichaa au vp maana siku pata usingizi karibu wiki nzima mpaka natamani usiku usiingie maana nawaza ntalalaje mzee haya mambo sio mazuri
 
.... captain Kwenye bahari ya mapenzi,chombo imeenda mlama...!!😟

Polee sanaa mkuu...Kila mtu kapitia hcho kipindi,na maumivu yake Kama ganzi tu muda ndo dawa tisha.

... nothing happene for accident,jifunze kwa kilicho tokea,usje ruhusu kikakutokea tena hcho kitu..
 
Mkuu hapa ni kama umetoa siri ya ninachopitia sahivi. Yani napata wakati mgumu sana Mungu ndo anajua!
 
Mkuu hapa ni kama umetoa siri ya ninachopitia sahivi. Yani napata wakati mgumu sana Mungu ndo anajua!
Lengo kuu hapa ni kupeana moyo, na kusaidiana kimawazo , jitahidi kuvumilia mkuu japo sio rahisi sana maana najua ningumu sana. Mimi nimepitia hicho kitu na najua maumivu yake , vumilia mkuu sema mwanamke sio wa kumwamini kabisa hata awe mke wako.

Somo alilonifundisha hata nikija kuoa kila mtoto lazima DNA ihusike sijui nimeoa mtoto wa padri au mchungaji au shehe napima wote hawa viumbe sio wa kuwachukulia poa
 
Haya maandiko yako yamenifunza sanaa,kila kitu fanya kwa kiasi,nikitendwa mm ambaye nishasoma mchezo maumivu n tofaut na ww uliye deep down.hawa viumbe c wa kwenda mzma mzmw,wakishajua unawapenda bac ndo huanza visa wakidhan utaomba msamaha tu.
 
Umeanza mambo yako wewe hujawahi kutendwa unaonekana .
Ahahaa ni ukomavu tu nilionao...nilitendwaga,skutamani kula wala kulala kwa sku mbili..

ila captain wangu apo kapata bahati....at least atafutwa machozi....
 
Ahahaa ni ukomavu tu nilionao...nilitendwaga,skutamani kula wala kulala kwa sku mbili..

ila captain wangu apo kapata bahati....at least atafutwa machozi....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ King Sae Pole sana muache Captain A unajua unaweza kutendwa hadi ukahisi pumzi imekata yaani 😒😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…