Shukrani mkuu,asantePole, hata ukibadilisha namba ya simu najua kichwani utakuwa nayo tu..! Piga moyo konde kama jambo haliwezi kuzungumzika jiweke pembeni.
Nimejaribu kila jambo mdau,sio jambo rahisi but still am fighting,hope na hili pia litapita.Hebu kunywa kwanza maji ya kutosha mkuu.
Usikae pekee yako..,fanya vitu unavyovipenda ukiwa na marafiki zako
Nimekata tamaa kabisa,yaani haitakaa itokee tenaMapenzi ndio yapo hivyo hivyo mkuu, sisi wenyewe tunajikaza tu. So komaa.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Asante sana brotherPole mkuu.yote yatapita hayo.ni ishu ya muda tu kufika
Shukrani brother kwa ukarimu wakoNjoo Pm chap tuongee! You will feel good! Pole sana mkuu!
Katika maisha ni lazima kusonga mbele no matter what! Mungu akusimamie. Ukipata nafasi njoo inbox tupige story
😅😅sawa brother.Asante sana brother
Hata sisi tulisemaga hivyo hivyo, ila baadae tunarudi tenaNimekata tamaa kabisa,yaani haitakaa itokee tena
Mkuu acha kabisa, maumivu yake ni makubwa sana , hapa naandika lakini mimi still nimepitia changamoto hiyo siku si nyingi , kweli niliumia sana hasa ukitegemea nilimpenda sana huyo mtoto lakini yeye akaniona BOYA .Wanaume tumeumbwa na ujasiri sana, na siyo rahisi kuonyesha udhaifu wake ata pale anapoona ameumizwa sana na mahusiano
Wengi wao huwa tunazuga kama hali hiyo haituumizi kumbe moyoni mwetu kunafukuta maumivu ambayo yanauma na ata umeze Lori la panadol sio rahisi kupata nafuu,binafsi hali hiyo imenikuta na kuna wakati natamani ata nisitoke nje kuona kinacho endelea ila ndio hivyo lazima maisha yaendelee.
Natamani nibadili namba ya simu pengine nahisi naweza kupata utulivu na kumkwepa ila nahisi nitapoteza watu wengi sana ambao tunasaidiana kimaisha,nipo kwenye msongo mzito sana wa mawazo
Hapa JF ndio sehemu pekee naweza kueleza hizi hisia ambazo siwezi Ku share na mtu yeyote physical ila nina uhakika na hili litapita.