usiombee kinuke

usiombee kinuke

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
166886_499242076703_3565829_n.jpg
 
Hivi huo moshi hauwaudhuru? Wananikumbusha darajani Zanzibar wakati wa uamsho, nilipata mafua makali sana!
 
Kila nikiwaona hao jamaa mara moja huwa najiwa na walichomfanya Daudi Mwangosi...
 
Aisee hao jamaa wanapiga asikwambie mtu.
Bora wakurushie mabomu kuliko wakikuweka mikononi, utajuta.
IFM.jpg
 
unajua hawa jamaa wako poa sana ila ukiharibu kazi hapo lazima ule kazi mkuu
 
mimi ndio zangu nilikuwa nikipenda sana kukinukisha.

Nalog off
 
napoangalia picha hii nakumbuka PALE SAVEI, SIO SIL BILA MBIO ZANGU LEO NINGEKUA NA HADITH NYINGINE KABISA pia nawakumbukawapiganaj kama akina EMEKA AMBAO HAD LEO WANASOTA MTAA,,
 
Hahhahahh yalitaka kunikuta...

Usiombe yakukute ndugu yangu, ilipigwa pale kwenye ule msikiti karibu na wanapocheza mpira. Nilikua naelekea marikiti darajani. Ule moshi ulionipata kwa mbali haukuniacha vizuri kabisaa. Nashangaa hawa waheshimiwa moshi mwingi tena hawajavaa hata vifaa vya kuzuia puani/machoni.
 
Back
Top Bottom