Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Mwaka 2003 nini...!??
hahaa ni juzi juzi tu mwenyekiti 2008.......na mwaka 2003 pia yaltiokea
Mwaka 2003 nini...!??
Mie nilikuepogo ule wa 2008, enzi za kina Owawa na Silinde, kilinuka tukatimuliwa wote kama kuku...Halafu ilikua imebaki kama siku tatu bumu litoke yaaani dah............nilikuwepogo.........
na we ulikuwepogo.....
Mie nilikuepogo ule wa 2008, enzi za kina Owawa na Silinde, kilinuka tukatimuliwa wote kama kuku...Halafu ilikua imebaki kama siku tatu bumu litoke yaaani dah............
hahaha! Wadada du wakajificha mlimani city, wakatolewa mkuku! ulikuwa mmojawapo nini?hii inanikumbusha UDSM tulivyofanyaga mgomo....
yale mabomu tuliyopigwa maeneo ya Savei siyasahau hadi leo
hahaha! Wadada du wakajificha mlimani city, wakatolewa mkuku! ulikuwa mmojawapo nini?
kweli aisee, yalipigwa mitaa ya cafteria, ilikuwa noumer, mdada mjamzito akazimia alaf zikaenea habari eti amefariki, weeeee, watu full munkari wa mgomo kesho yake, wanaimba parapanda.., kumbe ni mzima akaoneshwa kwenye tv na anapiga simu kabisa..., na mgomo kwishney, umenikumbusha mbali aisee,mie ilikuwa 2008.......
kweli aisee, yalipigwa mitaa ya cafteria, ilikuwa noumer, mdada mjamzito akazimia alaf zikaenea habari eti amefariki, weeeee, watu full munkari wa mgomo kesho yake, wanaimba parapanda.., kumbe ni mzima akaoneshwa kwenye tv na anapiga simu kabisa..., na mgomo kwishney, umenikumbusha mbali aisee,
hii inanikumbusha UDSM tulivyofanyaga mgomo....
yale mabomu tuliyopigwa maeneo ya Savei siyasahau hadi leo
hahaaa........kumbe na wewe ulikuwepo........kule Cafteria nilijikuta
nimetokezea eneo la TUKI kule mgahawani
yaani mambo ya mgomo.....wale viongozi wa mgomo wale ndio
walikuwa wananipa raha sana...---- mwingine alisema akifa azikwe Nkurumah
Mie nilikuepogo ule wa 2008, enzi za kina Owawa na Silinde, kilinuka tukatimuliwa wote kama kuku...Halafu ilikua imebaki kama siku tatu bumu litoke yaaani dah............
mie ilikuwa 2008.......
Bila shaka wewe ndiye huyu aliyenaguka hapo chini.....Hatariii hiyo ya 2008 sijuwepo Mie hii ya 2011 hapo hapo Savei tunachapa gwalide kwenda ikulu mara FFU hawa hapa na matangazo yao sijui jamhuri ninini!!!! Raha sana
Yap enzi hizo hizo ple Revolution Square hapatoshi....si ndio enzi zile za ODONG ODWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ODONG ODWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
FULL MIGOMO.
Bila shaka wewe ndiye huyu aliyenaguka hapo chini.....
![]()
Wengine walinunua kanga na vitenge kuficha 'pamba' zao ili waonekane kama ni raia wa kawaida, chezea vitu vyenye ncha kali wewe!!mie kuna duka fulani liko pale Savei ndo tulijificha.......
yule baba akataka kutufukuza na nje kuna wajeda........
ikabidi tuchange pesa tumpe ili tuebdelee kujificha
teteteetet yani umenkumbusha mbali sana, kwa kweli kusoma UDSM kulinifanya nijue kukimbia na kuona namna dola inavyofanya kazi. hata kufikia kuona ya kawaida kuna siku tulikimbizwa na ffu toka utawala hadi uclas ila ilikuwa na raha yake.
balaa liliwakuta wadada waliokuwa wamevalia viatu vya mchuchumio walikomaje!
akina sisi ahhhh tulishasoma alama za nyakati hakuna kubeba begi wala kuvaa mchuchumio, ni kuvaa suruali na blauzi yako unabeba funguo ya room na kibegi cha ushikaji tu, kitambulisho marufuku kukiacha room.maana ndio kitakutambulisha lolote likitokea.