Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Ha haaa!sikuanguka Mie nilichapa mwendo kupitia kule kota nkatokea udasa. Afu nlikuaga naenjoy sana
haha pale mnajifanya mmeshikamana yale Mabom yakirushwa kila mtu na njia yake
Ha haaa!sikuanguka Mie nilichapa mwendo kupitia kule kota nkatokea udasa. Afu nlikuaga naenjoy sana
Hatariii hiyo ya 2008 sijuwepo Mie hii ya 2011 hapo hapo Savei tunachapa gwalide kwenda ikulu mara FFU hawa hapa na matangazo yao sijui jamhuri ninini!!!! Raha sana
Sie ndo tulifuta 40% kipindi kile 2007,wakaleta makundi kuanzia A,B,,nk
mie nilivaada simple lakin zilobakia hata sijui....
nilinunua Malapa..halafu daladala zilifungwa tulitembea
kwa miguu kutoka savei hadi Hall 3..njaa zinauma na Cafteria zilifungwa
hahaa kumbe na wewe ulikuwa miongoni mwao....Mie Revolution Square nilikuwa sikosi
Kiboko ya yote ilikuwa 2003 chini ya Bahati Tweve... nakumbuka hadi piusi Ng'wandu alimfanya agenda bungeni...
haswa, ndio kipindi hicho, hata mimi revo square sikuwahi kukosa, mzee aristotle akimpaka mkandala huku sie makofi na mbwembwe kibao huku macho unayaangaza huko na huko tayari kwa chochote kutokea.
nyimbo zetu bwana " kama sio juhudi zako nyerere, kama sioooooo, kama sio juhudi zako nyereree, mkandala angesoma wapi? watu mzukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
watu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hatariii hiyo ya 2008 sijuwepo Mie hii ya 2011 hapo hapo Savei tunachapa gwalide kwenda ikulu mara FFU hawa hapa na matangazo yao sijui jamhuri ninini!!!! Raha sana