Usiombe yakukute

  • Thread starter Deleted member 485868
  • Start date
D

Deleted member 485868

Guest
Mzazi anapokutuma dukani akakusubiri weee upeleke alichokutuma..baada ya kuona unakawia anaamua kukufuata

Marapaaap!! Anakukuta umebambiwa namna hiyo alafu hakuna ulichonunua!!

Kitakachofuata.. utajuta kuzaliwa

Usikumwema
FB_IMG_1527356807801.jpg
 
Mtoto wa kiume hakuna alichonunua pesa kampa Nyigu na haoni chochote kazi ni moja tu....., Mtoto wa kiume kazama Kifikra ana shughuli moja tu Kiuno Haoni kinachotokea pamoja na Mwanga wa Kandili kuwepo......, Mbwa nae kataharuki Mpaka Masikio yamemsimama kumuona Mtu anayemfahamu lakini anashindwa kuelewa kwa nini Nyigu amemshika mtoto wa bosi wake........., Mama haamini macho yake kwa kile anachokiona na kujiuliza ni kweli yule ni Kijana wake? ananyanyua Kandili kudhibitisha.......!!!!
Kazi kweli kweli............!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom