D
Deleted member 485868
Guest
- Thread starter
- #21
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka loh! Eti anasura kama mbabaUyo mbwa anaonekana mbeaa sana halaf anasura kama ya mbaba yani
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka loh! Eti anasura kama mbabaUyo mbwa anaonekana mbeaa sana halaf anasura kama ya mbaba yani
Na alivyoikunja hiyo sura sasa duh!Mbwa ameonyesha kuchukizwa kuliko mama.
Amenifurahisha sana😀😀😀
Hivi umemuona huyo mama alivyokaza midomoAlafu iyo taa si anajimukika mwenyewe. Hapo tochi ingefaa sn
Kambwa kambea sanaMbwa kamaliza mchezo
[emoji23][emoji23]Aisee mtoto Nyigu mama kontena.
NakaziaSubirini maembe yaive mle kwa raha. Haya ndiyo yanaleta mimba za utotoni.
Yani...alafu atakua yeye ndie alieenda kutoa taarifa kwa bimkubwaMbwa mmbea
Inawezekana piaMbwa komando John. Bila Shaka mbwa ndio aliyeenda kumshitua bi mkubwa
[emoji23][emoji23][emoji23] atakua wakike maana sio kwa ukunjaji sura huukama mtoto wake ni wa kiume sio tabu kubwa ila kama mtoto wake ni wa kike hiyo ni vita ya tatu ya dunia
Mmh wakati anaonekana mkudaMaza mwelewa ataelewa
[emoji3][emoji3] umefikiria kwa upana zaidiMtoto wa kiume hakuna alichonunua pesa kampa Nyigu na haoni chochote kazi ni moja tu....., Mtoto wa kiume kazama Kifikra ana shughuli moja tu Kiuno Haoni kinachotokea pamoja na Mwanga wa Kandili kuwepo......, Mbwa nae kataharuki Mpaka Masikio yamemsimama kumuona Mtu anayemfahamu lakini anashindwa kuelewa kwa nini Nyigu amemshika mtoto wa bosi wake........., Mama haamini macho yake kwa kile anachokiona na kujiuliza ni kweli yule ni Kijana wake? ananyanyua Kandili kudhibitisha.......!!!!
Kazi kweli kweli............!!!!
Mkamalizane na nani sasa hapo?kilichopo hapo nikuchomoka speed ya light tuka malizane nyumbani
Alihisi labda mwanga wa mbalamwezu unamdanganya akaamua kubeba na chemli kabisa ili kuthibitisha zaidiMbona mwanga wa mbalamwezi unatosha ,sijaona sababu ya kubeba hyo chemli ati
NdamaUyo mbwa au mbuzi??
Mzazi anapokutuma dukani akakusubiri weee upeleke alichokutuma..baada ya kuona unakawia anaamua kukufuata
Marapaaap!! Anakukuta umebambiwa namna hiyo alafu hakuna ulichonunua!!
Kitakachofuata..[emoji23][emoji23][emoji23] utajuta kuzaliwa
UsikumwemaView attachment 789542
[emoji3][emoji3] nakusemeaKatoto kapo nachurali na kiuno kipo sehemu yake...
Adimu sana kuwapata hawa watoto siku hizi
Si yupo hvyo hvyo jamn...yan huyo ndio copy yake[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3] nakusemea
[emoji3][emoji3][emoji3] mwifwa jamani