ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,362
- 4,125
Jamani mbona mnawanyanyapaa wachagga hivyo?
"The law of utility"
Hata maji baada ya kubanwa na kiu sana jinsi unavyoyanywa unazidi kutosheka
Jamani mbona mnawanyanyapaa wachagga hivyo?
KIDASA! Kimya cha wengi kina maana ya kukubali, Kwako wewe unaelalama nitakuwekea kwenye Kitochi kama utakavyo.labda utumie kata ao kitochi biluri kwanini maji ya kunywa...
sijawahi na sintothubutu kukutesa kamwe, ila achana na akina mwekundu watakuponza
KIDASA! Kimya cha wengi kina maana ya kukubali, Kwako wewe unaelalama nitakuwekea kwenye Kitochi kama utakavyo.
Au nikupe Pesa badala yake? maana nyie kwa kitu Pesa.....
Jamani mbona mnawanyanyapaa wachagga hivyo?
Ushaanza wivuu heee mpenzi ni jina tuuuuuu bana shem wangu
ila wanatukubali mioyoni mwao ...
Haya ni-PM namba yako nikucheki fasta ili uende kuhesabiwa ukiwa njema zaidi au vp?
Hata mimi nawakubali sana, Samahani hivi umeshaolewa dada miss chagga
nipo mitandao yote wewe tu.