Usiombe mwanamke akuchoke!

Usiombe mwanamke akuchoke!

Muungwana akivuliwa nguo huchutama, mwache aseme yeye wewe kaa kimnya, yeye pia anamapungufu yake kwenye hayo mapenzi ila uliyakubali, sasabasi yeye akikushinda kusema wewe mshinde kunyamaza..

Hahahahaha...

Hivi nikweli ama nikamsemo tu kwamba hawajui mapenzi? Ila kwa uzoefu wangu na hawa watu ni sifuri japo siamini kama asilimia kubwa wako hivi.

Cc: Asprin...astakafirulahi jamani!!!
 
Last edited by a moderator:
aiyaa! Kumbe na wewe chagas? Baasi teena!

U r not serious Munkari, kumbe nmejizibia rizki mwenyewe,lol!

Ila basi tena umekosa bahati ya kumpata mchagga mwenye a different taste!!!:A S 39:
 
Last edited by a moderator:
Pole lakini kwa yaliuokukuta,hata dawa zinakuwa na Expiry date
 
girls are always dynamic tunaitaji mtu mbunifu....sasa kama wewe ulikuwa unatumia style moja kila siku unategemea nin??ila pole kakuepusha na mengi maana kama na yeye alisema hajaona kama wewe mwazo ulikuwa unampatia ila baada ya kukutana na wengine anakashifu....jiulize alitembea na wangapi kabla na baada ya kuwa na wewe....
 
Faking orgasm!!!! Hukuwahi kumfikisha kokote..... Ye anapotaka umfikishe Bagamoyo we unaishia Bunju!! Poleeee tafuta wa kuishia Bunju mwenzio huyo wa masafa msahau hutamuweza!!!
 
huyo alikuwa mke ama mpenzi tu? kama siyo mke achana naye atakupotezea wakati!
kwa nini ulimdanganya kuwa wewe ni mchaga? au ulitaka kumtishia kwamba akitembea na mtu ,mwingine unamraba risasi (joke)? kudanganyana huleta hali ya kutoaminiana katika mahusiano yoyote!
kwenye bold na italics- wewe hujui ya kuwa siku hizi faking orgasm ni kubwa sana hasa kwa wanawake ili akuridhishe wewe baada ya kuona kwamba huna uwezo wa kumkuna kunako kipele na kumfikisha "everist" penyewe?
Ngugu hii ilikuwa siku nyingi tu zilizopita na Kalikuwa kabinti tu, sitaki kuamini kuwa sikuwa nikimfikisha kwasababu mtu akifeki kama wewe ni mzoefu wa mambo flani unajua tu hapa naibiwa unaamua umpotezee,lakini kwa huyu alikuwa kweli anafika sema baada ya kuona behewa limekata kamba kaamua aharibu tu,
-Mimi si mchaga ilitokea tu nimemvavanga kihivyo.
 
R.kelly aliwahi kuimba, when a woman fed up nothing you can do. Jaribu ku contact nae labda amepata dawa yake.
Sina nilichokisahau kwake, Hivyo mimi nayeye ni historia tena.Asante kwa ushauri.
 
U r not serious Munkari, kumbe nmejizibia rizki mwenyewe,lol!

Ila basi tena umekosa bahati ya kumpata mchagga mwenye a different taste!!!:A S 39:

hahaha! Loh! Mh! Usinambie! Kwahyo nimekosa ndimu,limao,sukari,n.k nk?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom