Usiombe mwanamke akuchoke!

Usiombe mwanamke akuchoke!

Acha nipite zangu kuona mengine kama yapo
 
Wanawake ni waongo sana, papuchi niilipie alafu nimalizie nguvu zangu zote kwako. Namalizia haja yangu na kumsikiliza uongo wake.
 
Hawana lolote wanawake cku zote akili zao n zero done!.

Kama ni zero hua mnalilia nin kitandani mababa mazima likiwa kitanda kama litoto,yaan nyie wajanja nje tu chumbani akili zote hamnaaa
 
Muungwana akivuliwa nguo huchutama, mwache aseme yeye wewe kaa kimnya, yeye pia anamapungufu yake kwenye hayo mapenzi ila uliyakubali, sasabasi yeye akikushinda kusema wewe mshinde kunyamaza..

Like Like Like Like Like Like Like Like!!
 
basi uje na thread inayotusifia basi
wengi wamesafiri kwenda migombani,

subiri januari mkiwa wemngi mjini nitawasifia sana swty

sikutegemea useme ivo mpenzi leo unalo leo!!!!!!!! usirudi nyumbani kazi nitakayo kupa utajuta leo
Hivi kumbe na huyu ni mpenzi wako naye ee

Na-connect dots, itakula kwako haya, endelea tu
Tena atusifie haswaaaaaa
hahahaha just wait am coming soon on January
 
chapa lapa, hujaja nae duniani. akipata mwingine atamwacha
 
Back
Top Bottom