Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,761
- 1,623
huyo alikuwa mke ama mpenzi tu? kama siyo mke achana naye atakupotezea wakati!
kwa nini ulimdanganya kuwa wewe ni mchaga? au ulitaka kumtishia kwamba akitembea na mtu ,mwingine unamraba risasi (joke)? kudanganyana huleta hali ya kutoaminiana katika mahusiano yoyote!
kwenye bold na italics- wewe hujui ya kuwa siku hizi faking orgasm ni kubwa sana hasa kwa wanawake ili akuridhishe wewe baada ya kuona kwamba huna uwezo wa kumkuna kunako kipele na kumfikisha "everist" penyewe?
Sijaelewa the motive behind ya ku fake your true identity! Kwa mdada uliyekuwa unampenda. No wonder na yeye alikuwa akifake orgasm. Pengine alishakushtukia.So mjini tunasema ngoma draw. To me faking(with the exception na forums kama hizi) identity or orgasm is a sign of insecurity. Ngoja nikuulize, hivi ulipokuwa unajibishana na huyo ex-valentine wako,ulitegemea utamshinda mwanamke kwa maneno?!!!
Wakati mwingine ukimya unaweza kuchanganywa na busara.
U