HII SI HADITHI.
Mwanzoni alisema Namfikisha. Yaani namkuna akakunika, hajawahi
kupagawishwa kiasi nilichomfikisha mimi.
Na kunishangaa eti, Mimi ni Mchaga waajabu.
Namnukuu siku moja,"Hee kweli tembea uone, Kumbe kuna wachaga watundu na
wajuzi kwenye mahaba kiasi hiki?"
(Kumbuka nilimuongopea kuwa mimi ni Mchaga)
Nukuu ya Pili, tukiwa faraghani,"Huku akijilambalamba midomo kwa raha
niliyokuwa nikimpa, "Mangi nimekoj..a, Nimepiga bao-taaaaaaamu kweeeeli
huwezi amini haijawahi kunitokea kiasi hiki, --Asante sana baby wangu".
Kipindi hicho wala sikuwa mzoefu kiviile, nilikuwa bado nabahatisha
kunako medani za Kupeana raha za kimapenzi.
Basi, Si unajua hakuna marefu yasiyokuwa na ncha?
Yakatokea yaliyotokea, Ikawa hakuna jinsi bali kila mmoja wetu kuchukua
njia yake,
Kashfa zikaanza,"Mh! Nilikuwa nakuvumilia tu lakini ulikuwa unanidhulumu
kwa kweli, sikuwa nafaidi kitu penzi kabisa, Najuta,
Namimi nikikumbuka kauli zake za zamani,
Najitutumua ili nijibu mapigo kwa reference ya ushuhuda wake wa siku za
nyuma,
"Huwezi kupata mpenzi kama mimi hata ufanyeje,
Yeye anajibu" Heheeeya, Umelogwa wewe, Kwanza tangia lini Mchaga akajua
Mapenzi?
Kwanza hujawahi kunifikisha hata siku moja, Wapo Vidume waliojaaliwa
yaani ulikuwa unanipaka shombo tu".
Mimi mhh!!!?
Sasa sijui niamini kipi?
Mwanamke akikuchoka,......